Pre GE2025 Rais Samia amepunguza vifo vitokanavyo na UKIMWI - Waziri Ummy

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa hiyo Samia kafanya mambo gani ambayo wengine hawakufanya?
 
Daktari bingwa Mbobezi Samia PhD. katika ubora wake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ummy, mbona unaniangusha?
 
Viral attenuation..sema polepole wazungu wakisikia wataleta balaa jingine..
 
Kwa hiyo akitoka madarakani vifo vitapanda. Ummy , uchawa wako umezidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…