Rais Samia amerejesha uendeshaji shughuli za Serikali kwa uwazi

Democrasia ndio nn umeme tu umewashinda Hali ngumu tunakula siasa ss tunataka huduma Bora
 
Unaongelea maamuzi gani hii serikali sio ya kukurupuka mzee lazima ifuate sheria na katiba ya nchi inavyosema lakini kila mwenye kosa lazima awajibishwe kulingana na sheria hii serikali haikumbatii uozo

Asante kwa kutuletea Maharage na February
 
Na majizi ya pesa za umma ndio yametamalaki !! Na ndio yanayomuharibia maana ni sawasawa na kujitahidi kujaza maji ndoo yenye matundu matundu !!
Tulia uone Rais Samia Suluhu anavyorebisha nchi mzee
 
Democrasia ndio nn umeme tu umewashinda Hali ngumu tunakula siasa ss tunataka huduma Bora
Huduma bora zinapatikana kila sehemu sijui unaishi wapi ambako hakuna huduma ya Maji ya uhakika, umeme, Shule miundombinu pamoja na mikopo yenye masharti nafuu
 
Kweli upigaji+uwizi uko kwa uwazi

Ova
 
Ni kweli uendeshaji serikali kwa uwazi wa WIZI wa kufuru bila woga na dhuluma bila kuchukuliwa hatua kali za kisheria
 
Kweli upigaji+uwizi uko kwa uwazi

Ova
Bila kuwa na uwazi ungejuaje kama kuna wizi na Rais Samia Suluhu ameruhusu uwazi ili awashughulikie kwa uwazi pia kwahiyo tusubiri sheria ichukue mkondo wake
 
Bila kuwa na uwazi ungejuaje kama kuna wizi na Rais Samia Suluhu ameruhusu uwazi ili awashughulikie kwa uwazi pia kwahiyo tusubiri sheria ichukue mkondo wake
Huko kwenye sheria ndiko hasa hiyo mijizi huwa inatafuta zile loopholes inazifanyia kazi kisha wakishajiridhisha kwamba njia ya kukwepea ipo ndipo wanapofanya hizo deals za kupiga pesa ! Wao sio wajinga wakurupuke tu bila kufahamu watakwepaje mkono wa sheria !!
 
Thread Ya Chawa Wa Mama Aliyeshiba Damu Tele,Anacheua
 
Bila kuwa na uwazi ungejuaje kama kuna wizi na Rais Samia Suluhu ameruhusu uwazi ili awashughulikie kwa uwazi pia kwahiyo tusubiri sheria ichukue mkondo wake
Siku zote upigaji unajulikana na kubumbuluka mzee
Tushauzoea

Ova
 
Watu wa Aina yako ndio mnafanya tuibiwe kila siku, watu wa Aina yako ndio mnafanya viongozi wezi wajifiche kwe mawazo yenu

Tunaibiwa kila siku then mtu anakuja kusifia uwazi wa serikali eeh ww serikali ikiwa wazi inakusaidia nini?
 
Unaongelea maamuzi gani hii serikali sio ya kukurupuka mzee lazima ifuate sheria na katiba ya nchi inavyosema lakini kila mwenye kosa lazima awajibishwe kulingana na sheria hii serikali haikumbatii uozo

2yrs Nani kawajibishwa? Ela zimeibiwa kila mtu anashangaa

Tuliowapa serikali wanashangaa na wanainchi wanashangaa

Mkurugenzi aliiba lushoto now Yuko mkoa mwingine nako ameiba na bado yupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…