Rais Samia amerithi nchi iliyofilisika kifedha na kiuchumi

Rais Samia amerithi nchi iliyofilisika kifedha na kiuchumi

Andiko refu kweli , na mwandishi huenda wakati anaandika ameamini kabisa hapo ameishughulisha akili yake vyakutosha na hapo ametumia Uwezo wake wote kichwani hatimaye amekuja na andiko hili.


Kuna Rais aliyewah kurithishwa Nchi ambayo kakuta Hazina hamna KITU kama ambavyo Magufuli aliikuta Nchi HII??

Kuna Rais ambaye ameshuka madaraka katika wakati ambao Wananchi walichoshwa na Ubovu was Maisha, Hasira za Wananchi, Nchi ikiwa Mbovu Mbovu yenye matukio ya ajabu ajabu, Ufisadi uliopitiliza, Kuanzia Mahosp mpaka Mashule, hamna afadhali kama aliikuta JPM???.


MJINGA Mmoja wee, yaan Magufuli Kukata miraja na kufungwa njia zenu za upigaji, kujaza watoto wenu NSSF , Taasisi mbalimbali , Kuajiri watu Kwa connection,, WATANZANIA MKAWAACHIA AJIRA ZA UALIMU TU ZA KILA MWAKA, NAZO MKAZITOA KWA UFISADI NA RUSHWA KUBWA...ndo unaleta pia Yako hapa kumchafua HAYATI JPM??.


MJINGA MMOJA wee, Miradi yote hiyo JPM aliiendesha vipi Kwa pamoja ambapo SAMIA IMEMSHINDA???.


Unakuja kumtetea SAMIA na JK Kwa majibu mepesi mepesi ?? Wakati NCHI hiii sio ya miaka 2015 na kushuka chini ???.



MITOZO YANINI HII?? NA INAENDA WAPI??? MNASHINDWA KUMALIZA MIRADI ALOIACHA JPM KWA KISINGIZIO CHA ALIKOPA ???.


MIAKA 5 YA JPM NA MIKOPO YAKE NA ALICHOFANYIA MIKOPO HIYO ,,,WAWEZA ILINGANISHA NA MIAKA 2 YA SAMIA NA MIKOPO YAKE, NA TOZO ZAKE, NA KITU GAN ALICHOFANYA???


MJINGA Mmoja wee, unataka kusema kwamba Kwa Sasa anaweka mazingira , kwamba mazingira yakishakaa sawa ndo atafanya makubwa ????


KUNA RAIS ALIYEIKUTA NCHI IMETULIA KIUCHUMI KAMA ALIVYOKUITA SAMIA , BAADA YA MAGUFULI KUIPANGILIA NA IKAPANGIKA??.


Mpuuzi mmoja wee, Huyu JPM sindio aliyetuvusha na kutuingiza Uchumi wa Kati na Watanzania na Dunia ikaipongeza TZ ? ...,. Baada ya kifo chake mnakuja na Nyimbo za "Tulifikia uchumi wakati Kwa nguvu za Mungu na sio mtu ,kwamba tutarudi Tena hapo Kwa nguvu za Mungu?".




Mnajua hizi Bongo zenu za kuvukia barabara na ELIMU UCHWARA ZA UCHUMI , ELIMU za kukalili , msidhan Watanzania wote ni wajinga.


NAWEE NI MWANAUCHUMI??? MWANAUCHUMI ULOSHINDWA MSHAURI RAIS, NI NAMNA GAN AONGEZE MAPATO NJE YA TOZO NA KODI ???

MWANAUCHUMI GANI ULOSHINDWA KUMSHAURI RAIS NAMNA GAN APAMBANE NA HII INFLATION INAYOENDELEA??.




Muwe mnaficha Ujinga wenu.

We nawe ni zuzu.raisi kikwete hata kama kulikuwa na ufisadi katika utawala wake lakini kila mtu alikuwa anapata pesa as long as unajidhughulisha..ila Jpm alipoingia tu mambo yalibadilika sana biashara nyingi zilifungwa kwa kukosa wateja.kiukweli mama tunamlaumu bure ila nchi kaikuta haina pesa..usimlimganishe kikwete na raisi yeyote katika uchumi wa mtu mmojammoja.sisi wengine hatujawahi kuajiliwa tangu 2000..so tunajua kila kitu kuhusu maisha magumu ya awamu ya Mkapa,kikwete,magufuli na mama Samia.kikwete alikuwa ni the best president
 
Mama yako nchi ishamshinda hii mnakuja na excuse ya rais aliyepita ili kubariki udhaifu wenu, pumbavu kabisaaa.
Wewe ndo mpumbavu kwa Nini usidadavue kwa hoja Kama mleta mada? Unakuja na vijimaneno viwili vitatu halafu unatukana.
 
Wewe mkund na huo uchawa wako wa kipumbavu usituletee hapa! Huyo bibiako hajui hata anachofanya mambo yako shagalabaghala!
Acha kuwatafutia ban kwa nguvu watu! Ila kwa kupanic huko...amepiga kwenye mshono
 
Nyie wapuuzi mnaopewa visent msambaze propaganda za ki**ng mnakera Sana. Mnaleta uchawa na watu wanateseka Mtaani.
Unateseka peke yako bwashee usitusemee wengine!! Sisi tulijua tu tangu lini Tanzania ikawa dona cantre?😀😀 Tulijua Kuna siku zamu ya kuishi Kama mashetani itatufikia na sisi...kwa hiyo tulia dawa iingie
 
We nawe ni zuzu.raisi kikwete hata kama kulikuwa na ufisadi katika utawala wake lakini kila mtu alikuwa anapata pesa as long as unajidhughulisha..ila Jpm alipoingia tu mambo yalibadilika sana biashara nyingi zilifungwa kwa kukosa wateja.kiukweli mama tunamlaumu bure ila nchi kaikuta haina pesa..usimlimganishe kikwete na raisi yeyote katika uchumi wa mtu mmojammoja.sisi wengine hatujawahi kuajiliwa tangu 2000..so tunajua kila kitu kuhusu maisha magumu ya awamu ya Mkapa,kikwete,magufuli na mama Samia.kikwete alikuwa ni the best president
Yaani sitasahau sekta ya kilimo alivyoivuruga bwana yule! Unatumia 2.5m kwa kilimo unakuja kuuza less than 1m dah sitasahau..pembejeo juu, mbolea juu halafu unapangiwa Bei ya kuuza! Halafu wale wa ntwara koro show iliishia wapi?
 
Tatizo lako una leta ushabiki wa mpira kwenye mambo ya msingi!!uchumi ni sayari haudanganyi!!eti jiwe ameacha nchi ikiwa yenye uchumi uliotulia!!!miradi yote alitumia pesa ya kukopa ndio maaana amekopa kuliko rais yoyote yule kwa awamu moja(miaka5)yaani karibu trilioni 20!!kwa miaka mitano tu!!!halafu anawadanganya watu eti ni pesa zetu!!ajira zilisimama, wazabuni hoi,
MUNGU FUNDI



kupitia MIKOPO ,Shirika la Ndege na Ndege zikaonekana.... SGR, JNHEPP, Sengerema Sasa imeunganishwa na Barabara .


KWA UFUPI, NI TAHIRA TU KAMA WEWE AMBAYE HUONI KILICHOFANYWA NA JPM.



Haya niambie, zaidi ya kuruhusu Upigaji, nakusifia Ndoa za wanaume walooa wake wengi wengi kama yeye kua mtara,. Na kuchochea Mimba za wanafunzi .


Kipi amekifanya Kwa MaTrilioni ya Pesa alizokopa Mama yenu ??.
 
kupitia MIKOPO ,Shirika la Ndege na Ndege zikaonekana.... SGR, JNHEPP, Sengerema Sasa imeunganishwa na Barabara .


KWA UFUPI, NI TAHIRA TU KAMA WEWE AMBAYE HUONI KILICHOFANYWA NA JPM.



Haya niambie, zaidi ya kuruhusu Upigaji, nakusifia Ndoa za wanaume walooa wake wengi wengi kama yeye kua mtara,. Na kuchochea Mimba za wanafunzi .


Kipi amekifanya Kwa MaTrilioni ya Pesa alizokopa Mama yenu ??.
Hiyo miradi yote aliiacha chini ya 30% huku ikiwa haina financing plan yoyote maana biashara alishaua.
 
Kila kitu utaskia
Hili nalo nawaachieni mkalitizame

Wapigaji lazima wapate gape tu maana nchi iko autopilot mwenye maamuzi hajui afanye nini
 
Naunga mkono hoja yako, lakini mama angetafuta njia nzuri kama kubana matumiz kuliko haya anayofanya sasa
 
Mwandishi kaandika andiko reeeefu, kumbe andiko lake lote hakujua kuwa ni upumbavu mtupu,

Umeandika bila hata data ya kuthibitisha unachodai.?

Pumbavu, unaandika nini hicho?

Thibitisha basi angalau tukuone wa maana!

Hivi unakumbuka Gavana wa BoT alisema kuwa kwamba, JPM alikuwa ameacha fedha za kigeni zenye uwezo wa kuilisha nchi miazi mitano bila kodi mpya?

Kama sio mlamba asali, basis wewe ni waleeee, vyeti feki na mpumbavu
 
Halafu nyie michawa mimi naanza kuwachukia sasa. Mnakuja hapa na mipost ya kijinga kijinga kumchonganisha mheshimiwa Rais na wananchi kwa kutaka mjipatie sifa za kijingajinga tu.
Eti Kikwete aliacha nchi ikiwa na fedha; ujinga mtupu. Huyo kikwete wako aliacha nchi ikiwa kwenye dimbwi la kila uovu: ufisadi, rushwa, uzembe, madawa ya kulevya, nk. Aliacha hazina hakuna fedha ya kutumia hata kwa mwezi mmoja, halafu unakuja na post za kipuuzi za kumtetea!
Mwacheni rais afanye kazi, matokeo ya kazi yake wananchi tutayaona. Acheni kumchonganisha na wananchi.
 
Rais Magufuli alirithi nchi yenye mzunguko wa pesa imara na Ukuaji ulioimarika toka kwa Jakaya Kikwete, Uchumi wa Jakaya Kikwete wa kuajiri maelfu ya watu kila mwaka, na kulipa malimbikizo, Kuongeza mishahara, Kulipa wastaafu kwa wakati, Biashara na wawekezaji kushamiri. Ilituchukua zaidi ya miaka ishirini kufika uchumi wa Jakaya Kikwete.

Faida aliyoipata Jakaya Kikwete hakuvuruga miundo mbinu na matajiri ambao Rais Mkapa aliwajenga ambao ndio wazalishaji wakubwa Nchini bali aliboresha na Kutengeneza mazingira bora zaidi ya kuajiri na kulipa kodi.

Rais Magufuli aliamua Yeye kuvuruga na kufilisi nchi, Hakuishia kuvuruga akaamua na kujaza wasukuma ili waongee kisukuma kwenye sekta muhimu, Bora ingekuwa wasukuma smart wenye ABC za uchumi bali aliwajaza chawa wa kusifu, kuimba na Wengine kama kangi Lugola na Kabudi wakaamua kukufuru kabisa kuwa Rais Magufuli Yeye ni Alfa na Omega.

Rais Samia amepokea nchi ambayo haina uwezo wa kujenga miradi ya SGR na Bwawa la umeme la Nyerere.

Magufuli alikopa pesa za miradi ya SGR na Bwawa la Nyerere kwa pesa ambayo hata nusu ya miradi haiwezi kukamilika, Wakati watu wanahoji kuhusu gharama za mikopo hii na itakuaje baadae waliitwa hao watu sio wazalendo na Wanatumika na Mabeberu, Alipoulizwa Bwawa la zaidi ya Trilioni tano pesa za kumalizia zitatoka wapi alijibu pesa za ndani na nchi ni tajiri huku akishindwa kulipa wastaafu na malimbikizo.

Nani yupo tayari tukakope pesa zingine matrilioni ya pesa kumalizia Bwawa la umeme ambalo maji yake hayana uhakika na mabadiliko ya tabia nchi tayari yanaonekana kwa mkoa wa Dar es Salaam kuwa na baridi ya kutosha na watu kuvaa makoti asubuhi na jioni kama tupo Iringa au Mbeya.

Chawa wakuu walikuwa hawajasoma uchumi wala hawajui maana ya Demand and Supply, Chawa kama Bashiru Ally na Humprey Polepole hawakuwa na ABC za uchumi au mambo yanayohusu mikopo lakini hawa ndio waliaminiwa kama wa shauri wa kujenga SGR.

Rais Magufuli baada ya kuona uchumi ni imara na wawekezaji wanaiamini Tanzania akaanza kuvuruga mifumo ya demokrasia na uwekezaji.

Rais Magufuli alifilisi viwanda na kufilisi wamiliki wa hivyo viwanda walioajiri watu wengi kwa ahadi yake Wataishi kama mashetani.

Ni kweli wazalishaji wakubwa kwenye uchumi wetu waliishi kama mashetani wakati wa Magufuli, Kodi inaongezeka kutokana na uzalishaji, Sasa kama miaka mitano unatumia kuua uzalishaji wa nchi baadae ukimaliza muda wako au ukaondoka kama alivyo Ondoka tunapata wapi kodi.

Leo ameacha nchi yenye madeni kila kona kuanzia madeni ya ndani kwa wastaafu wa PSSf na NSSF, Wazee wastaafu walilimia meno awamu ya tano.

Wafanyakazi waliishia pia kama mashetani kwa kuamua kutolipa malimbikizo yao baada ya kuona uchumi unaporomoka na Yeye ndie Chanzo akabaki anaimba Tazara Interchange na Kijazi Interchange wakati hayo ni madaraja ya kawaida ambayo hakuifuata ramani halisi ya ujenzi kama ilivyotakiwa.

IMF na World Bank waliionya awamu ya tano kuhusu Ukuaji wa uchumi, Lakini Rais aliyekuwepo kushirikiana na ofisi za Takwimu hapa Tanzania waligoma kuhusu Ukuaji wake wakaja na data zao feki kuwa uchumi unakuwa kwa asilimia 7 kuelekea 8%, Takwimu za IMF na Bank ya dunia zilionyesha uchumi wetu umeporomoka na kufika asilimia 4%.

Baadae awamu ya tano kupitia Spika Ndugai wakatunga sheria bungeni kudhibiti utoaji wa Takwimu ili kuwafunga mdomo wachambuzi kama Zitto Kabwe.

Zitto Kabwe alimuonya Rais Magufuli na hata kumuandikia barua kuhusu Madhara ya anachokifanya kwenye uchumi wetu kuwa itachukua miaka zaidi ya kumi tena kujenga Uchumi aliouacha Jakaya Kikwete.

Tutapata wapi pesa za kuendesha nchi tena, Ni miaka mingapi itatuchukua tena kurudisha uchumi aliouacha Jakaya Kikwete wa asilimia 6.5%-7.5%

Rais Samia ana mapungufu yake lakini suala la kutuweka wazi anatuweka wazi kila kitu kinachoendelea, Suala la ushauri, Rais Samia anapokea ushauri na amewaacha watanzania waongee wanavyotaka.

Tunamlalamikia Mama Tozo lakini ukweli watu waliovuruga nchi hii kwa Mamlaka waliyopewa ni kiongozi wa awamu ya Tano yaani Rais.

Kwa principal za uchumi mkubwa itatuchukua miaka zaidi ya kumi tena nchi kukaa sawa na hata Rais Samia atamaliza muda wake uchumi wa Kikwete hatutaufikia kabisa.

Rais Samia anahangaika na nchi ambayo uzalishaji umeshuka, Uwezo wetu wa kuuza nje umeshuka, Rais Samia atakusanya wapi kodi wakati uzalishaji ndani ya nchi umeshuka?

Hussein Bashe anajitahidi kumsaidia Rais Samia uzalishaji ukue kwa kuja na mbinu mbalimbali lakini Kumbuka uchumi ulivurugwa na tukarudi hatua zaidi ya miaka kumi nyuma.

Rais Samia na Hussein Bashe watapambana kwenye kuboost uzalishaji lakini wataondoka bado uchumi wetu hautafika asilimia alizoziacha Jakaya Kikwete.

Katiba ni muhimu sana ili kudhibiti watawala wanaoturudisha nyuma.
Exactly, magufuli aliharibu uchumi wa Nchi kwa 100%
 
Halafu nyie michawa mimi naanza kuwachukia sasa. Mnakuja hapa na mipost ya kijinga kijinga kumchonganisha mheshimiwa Rais na wananchi kwa kutaka mjipatie sifa za kijingajinga tu.
Eti Kikwete aliacha nchi ikiwa na fedha; ujinga mtupu. Huyo kikwete wako aliacha nchi ikiwa kwenye dimbwi la kila uovu: ufisadi, rushwa, uzembe, madawa ya kulevya, nk. Aliacha hazina hakuna fedha ya kutumia hata kwa mwezi mmoja, halafu unakuja na post za kipuuzi za kumtetea!
Mwacheni rais afanye kazi, matokeo ya kazi yake wananchi tutayaona. Acheni kumchonganisha na wananchi.
Magufuli aliharibu uchumi wa Nchi
 
Mwandishi kaandika andiko reeeefu, kumbe andiko lake lote hakujua kuwa ni upumbavu mtupu,

Umeandika bila hata data ya kuthibitisha unachodai.?

Pumbavu, unaandika nini hicho?

Thibitisha basi angalau tukuone wa maana!

Hivi unakumbuka Gavana wa BoT alisema kuwa kwamba, JPM alikuwa ameacha fedha za kigeni zenye uwezo wa kuilisha nchi miazi mitano bila kodi mpya?

Kama sio mlamba asali, basis wewe ni waleeee, vyeti feki na mpumbavu
Watoto wa Singeli mngeenda tu kutwirk hivyo vimatacore vyetu huko!Nyuzi zenye kutumia akili na tafakari ya hali ya juu sana hamziwezi.
 
Back
Top Bottom