Andiko refu kweli , na mwandishi huenda wakati anaandika ameamini kabisa hapo ameishughulisha akili yake vyakutosha na hapo ametumia Uwezo wake wote kichwani hatimaye amekuja na andiko hili.
Kuna Rais aliyewah kurithishwa Nchi ambayo kakuta Hazina hamna KITU kama ambavyo Magufuli aliikuta Nchi HII??
Kuna Rais ambaye ameshuka madaraka katika wakati ambao Wananchi walichoshwa na Ubovu was Maisha, Hasira za Wananchi, Nchi ikiwa Mbovu Mbovu yenye matukio ya ajabu ajabu, Ufisadi uliopitiliza, Kuanzia Mahosp mpaka Mashule, hamna afadhali kama aliikuta JPM???.
MJINGA Mmoja wee, yaan Magufuli Kukata miraja na kufungwa njia zenu za upigaji, kujaza watoto wenu NSSF , Taasisi mbalimbali , Kuajiri watu Kwa connection,, WATANZANIA MKAWAACHIA AJIRA ZA UALIMU TU ZA KILA MWAKA, NAZO MKAZITOA KWA UFISADI NA RUSHWA KUBWA...ndo unaleta pia Yako hapa kumchafua HAYATI JPM??.
MJINGA MMOJA wee, Miradi yote hiyo JPM aliiendesha vipi Kwa pamoja ambapo SAMIA IMEMSHINDA???.
Unakuja kumtetea SAMIA na JK Kwa majibu mepesi mepesi ?? Wakati NCHI hiii sio ya miaka 2015 na kushuka chini ???.
MITOZO YANINI HII?? NA INAENDA WAPI??? MNASHINDWA KUMALIZA MIRADI ALOIACHA JPM KWA KISINGIZIO CHA ALIKOPA ???.
MIAKA 5 YA JPM NA MIKOPO YAKE NA ALICHOFANYIA MIKOPO HIYO ,,,WAWEZA ILINGANISHA NA MIAKA 2 YA SAMIA NA MIKOPO YAKE, NA TOZO ZAKE, NA KITU GAN ALICHOFANYA???
MJINGA Mmoja wee, unataka kusema kwamba Kwa Sasa anaweka mazingira , kwamba mazingira yakishakaa sawa ndo atafanya makubwa ????
KUNA RAIS ALIYEIKUTA NCHI IMETULIA KIUCHUMI KAMA ALIVYOKUITA SAMIA , BAADA YA MAGUFULI KUIPANGILIA NA IKAPANGIKA??.
Mpuuzi mmoja wee, Huyu JPM sindio aliyetuvusha na kutuingiza Uchumi wa Kati na Watanzania na Dunia ikaipongeza TZ ? ...,. Baada ya kifo chake mnakuja na Nyimbo za "Tulifikia uchumi wakati Kwa nguvu za Mungu na sio mtu ,kwamba tutarudi Tena hapo Kwa nguvu za Mungu?".
Mnajua hizi Bongo zenu za kuvukia barabara na ELIMU UCHWARA ZA UCHUMI , ELIMU za kukalili , msidhan Watanzania wote ni wajinga.
NAWEE NI MWANAUCHUMI??? MWANAUCHUMI ULOSHINDWA MSHAURI RAIS, NI NAMNA GAN AONGEZE MAPATO NJE YA TOZO NA KODI ???
MWANAUCHUMI GANI ULOSHINDWA KUMSHAURI RAIS NAMNA GAN APAMBANE NA HII INFLATION INAYOENDELEA??.
Muwe mnaficha Ujinga wenu.