Kume Kuwepo na video inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook, iki ambatana na nukuu inayodai kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, alisema: "Tumekopa mkopo huu, lakini mtalipa nyie.
Your browser is not able to display this video.
Tunachokijua
Samia Suluhu Hassanni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania wa awamu ya sita,ameshika nafasi hiyo baada ya kifo cha aliyekuwa Rais Hayati Joseph Pombe Magufuli wa awamu ya tano.
MADAI
Kumekuwepo na video inayosambaa mitandao ya kijamii hususan Facebook ikiambatana na nukuu inayodai kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema ‘’Tumekopa mkopo nafuu lakini mtaulipa nyie’’
Alisema maneno hayo baada ya kutoa onyo kwa mawaziri na wakurugenzi wa halmashauri kutumia fedha za miradi katika ujenzi na ununuzi wa vifaa. Hivyo video hiyo ni ya kweli na aliyasema maneno hayo lakini si video ya 2026 kama ilivyosabazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.