Rais Samia ametenda haki katika uteuzi wa wagombea Ubunge

Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.

Ameonyesha Kujawa na Ucha Mungu, Hofu Ya Mungu na Kutenda haki katika uteuzi wa wagombea ubunge. Ameongoza mchakato mgumu wa kuwapata wagombea Ubunge lakini ametenda haki na haki imeonekana kutendeka . Jambo ambalo limeondoa kabisa malalamiko , manung'uniko na lawama kutoka kwa wagombea na wanachama .

Ambapo hata wale ambao hawakupata nafasi ya kupenya kwenye tatu bora katika ngazi ya wilaya na Mkoa . Sasa wamejikuta wametendewa haki na majina yao kurejeshwa kwa ajili ya kupigiwa kura na wajumbe katika mkutano mkuu wa jimbo.

Kwa hakika jambo hilo limekijenga ,kukiimarisha na kukiacha chama kikiwa na umoja na mshikamano wa hali ya juu sana. Kwa sababu kila mwanachama ameridhika kabisa na mchakato ulivyokwenda pamoja na maamuzi ya kamati kuu iliyoongozwa na Rais Samia katika uteuzi wa wagombea.

Rais Samia anaendelea kuonyesha kuwa yeye ni zaidi ya kiongozi ,ni kiongozi na Nusu. Amehakikisha rushwa haichukui nafasi wala kuwa mwamuzi wa maamuzi ya kupendekeza wagombea. Kwa sababu anajua wagombea wakipita na kupitishwa kwa nguvu ya rushwa au pesa chafu itaangamiza na kukigawa chama na kukiacha na makovu makubwa sana.hii ndio sababu alihakikisha mchakato unakuwa wa haki na wagombea wote wanatendewa haki.

Watanzania tuna kila sababu ya kwenda kutiki kwa Rais Samia na wagombea wote wa CCM katika uchaguzi ujao.View attachment 3426341View attachment 3426342

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mcha Mungu Gani hataki Wakristo wamuabudu Mungu wao. Kafungia kanisa la gwajima, kavunja Hadi kanisa nyamafu huyu mjaa laana
 
Ni kijitabu tu! 🚮🚮🚮

FB_IMG_1694602139744.jpg
 
Lucas mwashamba
 
Samia hakubaliki hata na watoto wadogo. Baba zao wameuawa na Serikali yake halafu anawaambia kifo ni kifo tu. Siku ukirejeshewa ubongo wako utaacha kupost ujinga humu
 
Katika viumbe washirikina na wachawi ni huyo.shumileta wenu
 
Mashoga mnashida, kazi kutafuta mabasha
 
Mcha Mungu Gani hataki Wakristo wamuabudu Mungu wao. Kafungia kanisa la gwajima, kavunja Hadi kanisa nyamafu huyu mjaa laana
Kila kitu kinaendeshwa kwa kufuata sheria. Huwezi kutumia Madhabahu kupandikiza chuki zako na ubaguzi halafu uachwe hivi hivi bila kuchukuliwa hatua.
 
Samia hakubaliki hata na watoto wadogo. Baba zao wameuawa na Serikali yake halafu anawaambia kifo ni kifo tu. Siku ukirejeshewa ubongo wako utaacha kupost ujinga humu
Rais Samia anakubalika sana kwa watanzania. ni kiongozi safi na mwenye matendo safi na mikono safi ya haki.
 
Back
Top Bottom