Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #61
Kila kitu kinaendeshwa kwa mujibu wa sheria.Mcha Mungu anafungia Makanisa ya Ufufuo na Uzima!!!!

Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Ameonyesha Kujawa na Ucha Mungu, Hofu Ya Mungu na Kutenda haki katika uteuzi wa wagombea ubunge. Ameongoza mchakato mgumu wa kuwapata wagombea Ubunge lakini ametenda haki na haki imeonekana kutendeka . Jambo ambalo limeondoa kabisa malalamiko , manung'uniko na lawama kutoka kwa wagombea na wanachama .
Ambapo hata wale ambao hawakupata nafasi ya kupenya kwenye tatu bora katika ngazi ya wilaya na Mkoa . Sasa wamejikuta wametendewa haki na majina yao kurejeshwa kwa ajili ya kupigiwa kura na wajumbe katika mkutano mkuu wa jimbo.
Kwa hakika jambo hilo limekijenga ,kukiimarisha na kukiacha chama kikiwa na umoja na mshikamano wa hali ya juu sana. Kwa sababu kila mwanachama ameridhika kabisa na mchakato ulivyokwenda pamoja na maamuzi ya kamati kuu iliyoongozwa na Rais Samia katika uteuzi wa wagombea.
Rais Samia anaendelea kuonyesha kuwa yeye ni zaidi ya kiongozi ,ni kiongozi na Nusu. Amehakikisha rushwa haichukui nafasi wala kuwa mwamuzi wa maamuzi ya kupendekeza wagombea. Kwa sababu anajua wagombea wakipita na kupitishwa kwa nguvu ya rushwa au pesa chafu itaangamiza na kukigawa chama na kukiacha na makovu makubwa sana.hii ndio sababu alihakikisha mchakato unakuwa wa haki na wagombea wote wanatendewa haki.
Watanzania tuna kila sababu ya kwenda kutiki kwa Rais Samia na wagombea wote wa CCM katika uchaguzi ujao.View attachment 3426341View attachment 3426342
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ni kweli hizi moja ya akaunti za kumpromo Kahaba Kimama aonekane kuwa anakubalika na watanzania...akaunti hizi na nyinginezo zipo chini ya Shaka Hamidu na siyo huyo mwenye jina la Mnyiha wa Songwe..nasikia fununu Huyu jamaa anatumia jina lamtu mwengine ndio maana anapost pumba
Pumbavu. Usitupotezee muda hapa. Kampongeze wewe, na ukimaliza kumpongeza ulambe na matako yake. There!Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Ameonyesha Kujawa na Ucha Mungu, Hofu Ya Mungu na Kutenda haki katika uteuzi wa wagombea ubunge. Ameongoza mchakato mgumu wa kuwapata wagombea Ubunge lakini ametenda haki na haki imeonekana kutendeka . Jambo ambalo limeondoa kabisa malalamiko , manung'uniko na lawama kutoka kwa wagombea na wanachama .
Ambapo hata wale ambao hawakupata nafasi ya kupenya kwenye tatu bora katika ngazi ya wilaya na Mkoa . Sasa wamejikuta wametendewa haki na majina yao kurejeshwa kwa ajili ya kupigiwa kura na wajumbe katika mkutano mkuu wa jimbo.
Kwa hakika jambo hilo limekijenga ,kukiimarisha na kukiacha chama kikiwa na umoja na mshikamano wa hali ya juu sana. Kwa sababu kila mwanachama ameridhika kabisa na mchakato ulivyokwenda pamoja na maamuzi ya kamati kuu iliyoongozwa na Rais Samia katika uteuzi wa wagombea.
Rais Samia anaendelea kuonyesha kuwa yeye ni zaidi ya kiongozi ,ni kiongozi na Nusu. Amehakikisha rushwa haichukui nafasi wala kuwa mwamuzi wa maamuzi ya kupendekeza wagombea. Kwa sababu anajua wagombea wakipita na kupitishwa kwa nguvu ya rushwa au pesa chafu itaangamiza na kukigawa chama na kukiacha na makovu makubwa sana.hii ndio sababu alihakikisha mchakato unakuwa wa haki na wagombea wote wanatendewa haki.
Watanzania tuna kila sababu ya kwenda kutiki kwa Rais Samia na wagombea wote wa CCM katika uchaguzi ujao.View attachment 3426341View attachment 3426342
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Atakaye teuwa bumunda sijue kama naye atakuwa siyo?Teuzi zijazo umoo.
Hata mi nashangaa kwa nini hajabubujikwa machozi kwa hili 🤣Bubujikwa na machozi sasa .
Mwenyekiti wa ccm mkoa wa TANGA ndiyo mganga wake huyo. Mchamungu anaenda kwa waganga ?Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Ameonyesha Kujawa na Ucha Mungu, Hofu Ya Mungu na Kutenda haki katika uteuzi wa wagombea ubunge. Ameongoza mchakato mgumu wa kuwapata wagombea Ubunge lakini ametenda haki na haki imeonekana kutendeka . Jambo ambalo limeondoa kabisa malalamiko , manung'uniko na lawama kutoka kwa wagombea na wanachama .
Ambapo hata wale ambao hawakupata nafasi ya kupenya kwenye tatu bora katika ngazi ya wilaya na Mkoa . Sasa wamejikuta wametendewa haki na majina yao kurejeshwa kwa ajili ya kupigiwa kura na wajumbe katika mkutano mkuu wa jimbo.
Kwa hakika jambo hilo limekijenga ,kukiimarisha na kukiacha chama kikiwa na umoja na mshikamano wa hali ya juu sana. Kwa sababu kila mwanachama ameridhika kabisa na mchakato ulivyokwenda pamoja na maamuzi ya kamati kuu iliyoongozwa na Rais Samia katika uteuzi wa wagombea.
Rais Samia anaendelea kuonyesha kuwa yeye ni zaidi ya kiongozi ,ni kiongozi na Nusu. Amehakikisha rushwa haichukui nafasi wala kuwa mwamuzi wa maamuzi ya kupendekeza wagombea. Kwa sababu anajua wagombea wakipita na kupitishwa kwa nguvu ya rushwa au pesa chafu itaangamiza na kukigawa chama na kukiacha na makovu makubwa sana.hii ndio sababu alihakikisha mchakato unakuwa wa haki na wagombea wote wanatendewa haki.
Watanzania tuna kila sababu ya kwenda kutiki kwa Rais Samia na wagombea wote wa CCM katika uchaguzi ujao.View attachment 3426341View attachment 3426342
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huko Kwa Mganga ulimpeleka wewe?Mwenyekiti wa ccm mkoa wa TANGA ndiyo mganga wake huyo. Mchamungu anaenda kwa waganga ?
Mcha MUNGU gani huyo anatrshindwa KUFUATA Hata UTAMADUNI WA CHAMA CHAKE KUPATA MGOMBEA?
Unajua maana ya mchamungu lakini?
Mcha mungu anazusha, anateka na KUUA WATU?
Unafikir wote wanaishi maporini kama wewe? Kaa kwa kutulia huku ukikuna ndevu za RIZIWANI KIKWETE.Huko Kwa Mganga ulimpeleka wewe?
Sheria gani ya kuzuia watu kuabudu?Kila kitu kinaendeshwa kwa mujibu wa sheria.
Kwa hiyo unafikiria kuwa unaweza kuhubiri na kutamka maneno yoyote yale utakavyo hata kama yapo kinyume na sheria ?Sheria gani ya kuzuia watu kuabudu?
Waumini wa Gwajima walitamka maneno gani ambayo yapo kinyume na sheria?Kwa hiyo unafikiria kuwa unaweza kuhubiri na kutamka maneno yoyote yale utakavyo hata kama yapo kinyume na sheria ?
Anakusalimia slow slow!Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Ameonyesha Kujawa na Ucha Mungu, Hofu Ya Mungu na Kutenda haki katika uteuzi wa wagombea ubunge. Ameongoza mchakato mgumu wa kuwapata wagombea Ubunge lakini ametenda haki na haki imeonekana kutendeka . Jambo ambalo limeondoa kabisa malalamiko , manung'uniko na lawama kutoka kwa wagombea na wanachama .
Ambapo hata wale ambao hawakupata nafasi ya kupenya kwenye tatu bora katika ngazi ya wilaya na Mkoa . Sasa wamejikuta wametendewa haki na majina yao kurejeshwa kwa ajili ya kupigiwa kura na wajumbe katika mkutano mkuu wa jimbo.
Kwa hakika jambo hilo limekijenga ,kukiimarisha na kukiacha chama kikiwa na umoja na mshikamano wa hali ya juu sana. Kwa sababu kila mwanachama ameridhika kabisa na mchakato ulivyokwenda pamoja na maamuzi ya kamati kuu iliyoongozwa na Rais Samia katika uteuzi wa wagombea.
Rais Samia anaendelea kuonyesha kuwa yeye ni zaidi ya kiongozi ,ni kiongozi na Nusu. Amehakikisha rushwa haichukui nafasi wala kuwa mwamuzi wa maamuzi ya kupendekeza wagombea. Kwa sababu anajua wagombea wakipita na kupitishwa kwa nguvu ya rushwa au pesa chafu itaangamiza na kukigawa chama na kukiacha na makovu makubwa sana.hii ndio sababu alihakikisha mchakato unakuwa wa haki na wagombea wote wanatendewa haki.
Watanzania tuna kila sababu ya kwenda kutiki kwa Rais Samia na wagombea wote wa CCM katika uchaguzi ujao.View attachment 3426341View attachment 3426342
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha kurukaruka kama maharage jikoni!! Nimekuuliza sheria gani ya kuwazuia maelfu ya waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima??Kwa hiyo unafikiria kuwa unaweza kuhubiri na kutamka maneno yoyote yale utakavyo hata kama yapo kinyume na sheria ?
Jibu swali nililokuuliza!! Kwa hiyo waumini wa Kilwa wakisema maneno kinyume ndiyo unafunga Makanisa Tanzania nzima?Waumini wa Gwajima walitamka maneno gani ambayo yapo kinyume na sheria?
Dada Lucy Mwashambwa hawajakukumbuka kwenye udiwani wa viti maalum huko Vwawa?Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na jemedari wetu kipenzi cha Watanzania, Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan — mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini, na nuru ya wanyonge.
Ameonyesha kujawa na ucha Mungu, hofu ya Mungu, na kutenda haki katika uteuzi wa wagombea ubunge. Ameongoza mchakato mgumu wa kuwapata wagombea ubunge, lakini ametenda haki na haki imeonekana kutendeka. Jambo ambalo limeondoa kabisa malalamiko, manung’uniko, na lawama kutoka kwa wagombea na wanachama.
Ambapo hata wale ambao hawakupata nafasi ya kupenya kwenye tatu bora katika ngazi ya wilaya na mkoa, sasa wamejikuta wametendewa haki na majina yao kurejeshwa kwa ajili ya kupigiwa kura na wajumbe katika mkutano mkuu wa jimbo.
Kwa hakika jambo hilo limekijenga, kukiimarisha, na kukiacha chama kikiwa na umoja na mshikamano wa hali ya juu sana. Kwa sababu kila mwanachama ameridhika kabisa na mchakato ulivyokwenda pamoja na maamuzi ya Kamati Kuu iliyoongozwa na Rais Samia katika uteuzi wa wagombea.
Rais Samia anaendelea kuonyesha kuwa yeye ni zaidi ya kiongozi — ni kiongozi na nusu. Amehakikisha rushwa haichukui nafasi wala kuwa mwamuzi wa maamuzi ya kupendekeza wagombea. Kwa sababu anajua wagombea wakipita na kupitishwa kwa nguvu ya rushwa au pesa chafu, itaangamiza na kukigawa chama na kukiacha na makovu makubwa sana. Hii ndiyo sababu alihakikisha mchakato unakuwa wa haki na wagombea wote wanatendewa haki.
Watanzania tuna kila sababu ya kwenda kutiki kwa Rais Samia na wagombea wote wa CCM katika uchaguzi ujao.
Kazi iendelee. Mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa: Mama anatosha kuendelea kuliongoza taifa letu kwa muhula wa pili.
View attachment 3426341View attachment 3426342
Sasa kumtendea nani?Mimi sijagombea jimbo lolote lile
nasikia fununu Huyu jamaa anatumia jina lamtu mwengine ndio maana anapost pumba