Rais Samia ametenda haki katika uteuzi wa wagombea Ubunge

 
nasikia fununu Huyu jamaa anatumia jina lamtu mwengine ndio maana anapost pumba
Ni kweli hizi moja ya akaunti za kumpromo Kahaba Kimama aonekane kuwa anakubalika na watanzania...akaunti hizi na nyinginezo zipo chini ya Shaka Hamidu na siyo huyo mwenye jina la Mnyiha wa Songwe..
 
Pumbavu. Usitupotezee muda hapa. Kampongeze wewe, na ukimaliza kumpongeza ulambe na matako yake. There!
 
Mkuu, sisi huku Nkotokwiana utuondoe kwenye hizo pongezi za nchi nzima, hatumo. Hakuna mtu yeyeto aliyefika huku kutuuliza maoni yetu. Usitujumuishe kwenye mambo ambayo hatujatoa maoni yetu.
 
Mwenyekiti wa ccm mkoa wa TANGA ndiyo mganga wake huyo. Mchamungu anaenda kwa waganga ?
Mcha MUNGU gani huyo anatrshindwa KUFUATA Hata UTAMADUNI WA CHAMA CHAKE KUPATA MGOMBEA?
Unajua maana ya mchamungu lakini?
Mcha mungu anazusha, anateka na KUUA WATU?
 
Huko Kwa Mganga ulimpeleka wewe?
 
Ana
Anakusalimia slow slow!
 
Kwa hiyo unafikiria kuwa unaweza kuhubiri na kutamka maneno yoyote yale utakavyo hata kama yapo kinyume na sheria ?
Acha kurukaruka kama maharage jikoni!! Nimekuuliza sheria gani ya kuwazuia maelfu ya waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima??
 
Waumini wa Gwajima walitamka maneno gani ambayo yapo kinyume na sheria?
Jibu swali nililokuuliza!! Kwa hiyo waumini wa Kilwa wakisema maneno kinyume ndiyo unafunga Makanisa Tanzania nzima?
 
Dada Lucy Mwashambwa hawajakukumbuka kwenye udiwani wa viti maalum huko Vwawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…