Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Nimekusamehe bure kabisa maana hujui ulitendaloKenge weee
LaanakhumNdugu zangu Watanzania,
Ukiwa Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu Wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Maana yake ni Kuwa Umebeba Dhamana ya Maisha ya Watu. Maana yake ni Kuwa Maisha ya Watu yapo mikononi Mwako . Maana yake hatima za Kesho ya wananchi ipo mikononi mwako.
Maana yake ni Kuwa usalama wao ,afya zao , uhuru wao,Elimu zao,kilimo chao,vipato vyao ,haki zao na mengine mengi sana yanakuwa yapo mikononi Mwako, wewe ndiye mwezeshaji .
wewe ndiye wa kuwainua watu,kuwapa motisha ya kusonga mbele,kuwapa Matumaini,kuwashika Mkono na kuwainua waliochini. Wewe ndiye nguzo ya watu wote kisera na kisheria . Wewe ndiye nuru na Mwanga katika Maisha ya watanzania.
Mkuu wa Nchi Ni Oksijeni Ya Taifa inayotumika kwa watu wote kila Uchao. Ni Mwanga wakati wa mchana na Nyota na Mwezi wakati wa Usiku. Ni Mtumbwi Na Meli Baharini na Ziwani , ni Ndege angani na ni gari ardhini.
Mkuu Wa Nchi ni kila kitu katika kulipeleka mbele Taifa .
Kazi hiyo imefanywa kwa uhodari , umaridadi,umadhubuti ,ushupavu na umakini Mkubwa sana na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Ndio maana tunaona secta zote zikifanya vizuri kabisa kuanzia kilimo ,afya,elimu, miundombinu,nishati n.k. hii ni kwa sababu tuna kiongozi mwenye maono na akili kubwa . Tuna kiongozi ambaye anatambua wajibu wake . Tuna kiongozi Ambaye amejaa uzalendo na Upendo mkubwa kwa Taifa na watanzania wote kwa ujumla wake.
Ndio Maana muda wote yupo kazini kuwahudumia na kuwatumikia watanzania. Ndio Maana muda wote watanzania wanapata kusikika na kusikilizwa sauti zao kupitia makundi na hata mtu mmoja Mmoja. Ni Mama na Rais Mnyenyekevu na mwenye dhamira ya kweli kwa Taifa letu.
Kwa hakika watanzania tuna kila sababu ya kujivunia RAIS wetu na kuendelea kumuombea afya njema ,Maisha marefu na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania. Kwasababu watu na viongozi aina yake hawazaliwi kila siku na wala hawapatikani kila Sehemu. Huja na kutokea kama Bahati tu . Na Tanzania tumepata bahati hiyo na lazima tutambue ya kuwa Bahati haiji mara Mbili.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3644515
Gunia la Maharage bei Gani huko mbozi?Ndugu zangu Watanzania,

Hujitambui kabisa wewe uliyejaa laana ,nukusi na MikosiLaanakhum
Samia ni MUUAJI
Samia siyo Rais
Samia ni laana kwa Taifa
Chawa kazi yake ni kunyonya damu hakuna lingineNimekusamehe bure kabisa maana hujui ulitendalo
Ila we jamaa, kuna muda huwa najaribu kukutafakari najikuta nabaki kukuonea huruma sana na kizazi chako.Ndugu zangu Watanzania,
Ukiwa Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu Wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Maana yake ni Kuwa Umebeba Dhamana ya Maisha ya Watu. Maana yake ni Kuwa Maisha ya Watu yapo mikononi Mwako . Maana yake hatima za Kesho ya wananchi ipo mikononi mwako.
Maana yake ni Kuwa usalama wao ,afya zao , uhuru wao,Elimu zao,kilimo chao,vipato vyao ,haki zao na mengine mengi sana yanakuwa yapo mikononi Mwako, wewe ndiye mwezeshaji .
wewe ndiye wa kuwainua watu,kuwapa motisha ya kusonga mbele,kuwapa Matumaini,kuwashika Mkono na kuwainua waliochini. Wewe ndiye nguzo ya watu wote kisera na kisheria . Wewe ndiye nuru na Mwanga katika Maisha ya watanzania.
Mkuu wa Nchi Ni Oksijeni Ya Taifa inayotumika kwa watu wote kila Uchao. Ni Mwanga wakati wa mchana na Nyota na Mwezi wakati wa Usiku. Ni Mtumbwi Na Meli Baharini na Ziwani , ni Ndege angani na ni gari ardhini.
Mkuu Wa Nchi ni kila kitu katika kulipeleka mbele Taifa .
Kazi hiyo imefanywa kwa uhodari , umaridadi,umadhubuti ,ushupavu na umakini Mkubwa sana na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Ndio maana tunaona secta zote zikifanya vizuri kabisa kuanzia kilimo ,afya,elimu, miundombinu,nishati n.k. hii ni kwa sababu tuna kiongozi mwenye maono na akili kubwa . Tuna kiongozi ambaye anatambua wajibu wake . Tuna kiongozi Ambaye amejaa uzalendo na Upendo mkubwa kwa Taifa na watanzania wote kwa ujumla wake.
Ndio Maana muda wote yupo kazini kuwahudumia na kuwatumikia watanzania. Ndio Maana muda wote watanzania wanapata kusikika na kusikilizwa sauti zao kupitia makundi na hata mtu mmoja Mmoja. Ni Mama na Rais Mnyenyekevu na mwenye dhamira ya kweli kwa Taifa letu.
Kwa hakika watanzania tuna kila sababu ya kujivunia RAIS wetu na kuendelea kumuombea afya njema ,Maisha marefu na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania. Kwasababu watu na viongozi aina yake hawazaliwi kila siku na wala hawapatikani kila Sehemu. Huja na kutokea kama Bahati tu . Na Tanzania tumepata bahati hiyo na lazima tutambue ya kuwa Bahati haiji mara Mbili.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3644515
Inaandikwa nuksi.Hujitambui kabisa wewe uliyejaa laana ,nukusi na Mikosi
Wewe ndiye Kaoge Baharini kuondoa mikosi na nuksi zakoInaandikwa nuksi.
Matumizi ya panctuation alama ya koma (,) inawekwa mwisho wa neno na siyo mwanzo wa neno au sentensi.
Kaoge maji ya pwani upunguze laana uliyojitwika ya uchawa kwa muuaji Samia
Hoja hujibiwa kwa hojaIla we jamaa, kuna muda huwa najaribu kukutafakari najikuta nabaki kukuonea huruma sana na kizazi chako.
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiwa Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu Wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Maana yake ni Kuwa Umebeba Dhamana ya Maisha ya Watu. Maana yake ni Kuwa Maisha ya Watu yapo mikononi Mwako . Maana yake hatima za Kesho ya wananchi ipo mikononi mwako.
Maana yake ni Kuwa usalama wao ,afya zao , uhuru wao,Elimu zao,kilimo chao,vipato vyao ,haki zao na mengine mengi sana yanakuwa yapo mikononi Mwako, wewe ndiye mwezeshaji .
wewe ndiye wa kuwainua watu,kuwapa motisha ya kusonga mbele,kuwapa Matumaini,kuwashika Mkono na kuwainua waliochini. Wewe ndiye nguzo ya watu wote kisera na kisheria . Wewe ndiye nuru na Mwanga katika Maisha ya watanzania.
Mkuu wa Nchi Ni Oksijeni Ya Taifa inayotumika kwa watu wote kila Uchao. Ni Mwanga wakati wa mchana na Nyota na Mwezi wakati wa Usiku. Ni Mtumbwi Na Meli Baharini na Ziwani , ni Ndege angani na ni gari ardhini.
Mkuu Wa Nchi ni kila kitu katika kulipeleka mbele Taifa .
Kazi hiyo imefanywa kwa uhodari , umaridadi,umadhubuti ,ushupavu na umakini Mkubwa sana na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Ndio maana tunaona secta zote zikifanya vizuri kabisa kuanzia kilimo ,afya,elimu, miundombinu,nishati n.k. hii ni kwa sababu tuna kiongozi mwenye maono na akili kubwa . Tuna kiongozi ambaye anatambua wajibu wake . Tuna kiongozi Ambaye amejaa uzalendo na Upendo mkubwa kwa Taifa na watanzania wote kwa ujumla wake.
Ndio Maana muda wote yupo kazini kuwahudumia na kuwatumikia watanzania. Ndio Maana muda wote watanzania wanapata kusikika na kusikilizwa sauti zao kupitia makundi na hata mtu mmoja Mmoja. Ni Mama na Rais Mnyenyekevu na mwenye dhamira ya kweli kwa Taifa letu.
Kwa hakika watanzania tuna kila sababu ya kujivunia RAIS wetu na kuendelea kumuombea afya njema ,Maisha marefu na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania. Kwasababu watu na viongozi aina yake hawazaliwi kila siku na wala hawapatikani kila Sehemu. Huja na kutokea kama Bahati tu . Na Tanzania tumepata bahati hiyo na lazima tutambue ya kuwa Bahati haiji mara Mbili.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3644515
Samia kinuka mkojo 🖕.Ndugu zangu Watanzania,

QmmmkNimekusamehe bure kabisa maana hujui ulitendalo
Mungu akusamehe sanaQmmmk
Ni ukweli na wala siyo Propaganda