Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,119
- 4,569
Hawa ni mapandikizi ya Makamba Jr kama yule Maharagwe aliyefanyiwa usaili na Makamba mwenyewe akitokea DSTV ya Afrika Kusini. Watu kama hawa hawawezi kuendana na waziri wa sasa wa nishati ambaye dhamira yake ni kuona bei ya nishati ikiwemo nishati ya umeme inateremka hadi kuwa sawa na ile ya China na nchi za ulaya.tuanze kwa kujiuliza alirudije hapo baada ya kuwekwa benchi muda mrefu?