Rais Samia ametoa Tsh Milioni 100 na Waziri Katambi amechangia mifuko 50 ya simenti Ujenzi wa Shule ya Msingi na Awali ya Kanisa La KKKT

Rais Samia ametoa Tsh Milioni 100 na Waziri Katambi amechangia mifuko 50 ya simenti Ujenzi wa Shule ya Msingi na Awali ya Kanisa La KKKT

Anataka kulitumia kanisa la KKKT kupitia Malasusa kuhisafisha....neverrrrr!!!!

Kusafisha nini akili za 🫎🫎🫎🫎 nyie mnapepo la kifo njooni tena 7+7

mtaelewa tatizo ni Pepo lenu tu

sio RAIS Samia Suluhu Hassan,

kwani D9 si mkalishinda lile Pepo lenu la kifo!!!
kuna sisimizi alikufa‼️

Mkilishinda tena Pepo lenu 7+7 mtabaki Salama salmini hii shida yenu ndugu👈

sio ya RAIS Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom