Rais Samia amewaapisha viongozi wateule Ikulu ya Tunguu, Zanzibar, Julai 27, 2026

Rais Samia amewaapisha viongozi wateule Ikulu ya Tunguu, Zanzibar, Julai 27, 2026

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Rais Samia kuapisha viongozi wateule Ikulu ya Tunguu, Zanzibar, leo Julai 27, 2026
WhatsApp Image 2026-07-27 at 09.49.53.jpeg

===============
WhatsApp Image 2026-07-27 at 13.32.39 (2).jpeg
WhatsApp Image 2026-07-27 at 13.32.39.jpeg

WhatsApp Image 2026-07-27 at 13.32.40.jpeg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Latifa Mohammed Khamis kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Tunguu Zanzibar, tarehe 27 Julai, 2026.
WhatsApp Image 2026-07-27 at 13.32.41.jpeg
WhatsApp Image 2026-07-27 at 13.32.42 (1).jpeg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Prisca Burton Lwangili kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Tunguu Zanzibar, tarehe 27 Julai, 2026.
WhatsApp Image 2026-07-27 at 13.32.44 (1).jpeg
WhatsApp Image 2026-07-27 at 13.32.44.jpeg
WhatsApp Image 2026-07-27 at 13.32.43.jpeg

Viongozi Wateule wakiapa kiapo cha uadilifu kwa Viongozi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Tunguu Zanzibar, tarehe 27 Julai, 2026.
​
 
Hivi sasa ni saa 6:18 Mchana, lakini hakuna link ya huo mkutano wake

Ama wamebadirisha muda wa tukio lenyewe?
 
Back
Top Bottom