Rais Samia amewaapisha viongozi wateule Ikulu ya Tunguu, Zanzibar, Julai 27, 2026

Rais Samia amewaapisha viongozi wateule Ikulu ya Tunguu, Zanzibar, Julai 27, 2026

Attachments

  • FB_IMG_17588819121040861.jpg
    FB_IMG_17588819121040861.jpg
    156.8 KB · Views: 12
  • 6185816-a2dc5934a318450e6ef20760bc90c4bf.jpg
    6185816-a2dc5934a318450e6ef20760bc90c4bf.jpg
    8 KB · Views: 9
  • 20250902_065338.jpg
    20250902_065338.jpg
    258.8 KB · Views: 10
  • Screenshot_20250801-182948~2 (1).jpg
    Screenshot_20250801-182948~2 (1).jpg
    73.3 KB · Views: 12
Tunajua mna injoy vile Tanzania inapiga hatua kubwa kwenye maendeleo

nikazi kubwa tangu henzi za Mwalimu Nyerere mpaka sasa👈 japo tunaona matokeo yake mfano barabara nzuri 👈

faida yake kwa Watanzania wanaletewa Mabasi mazuri leo kusafiri unainjoy tu barabarani full kipupwe nk✍️
 
Umeona hii lakini?
air-tanzania-begins-direct-flights-to-zanzibar-via-dar-es-salaam

Inatoka Zanzibar kwenda Oman via Dar

Vitu kama hivi ndiyo vinamfanya Makamu wa Rais awe mbogo.

... Read more on: Air Tanzania begins direct flights to Zanzibar via Dar es Salaam

Vizuri tunataka tuweze kwenda mbali zaidi mana kwasasa tunandege za kutosha zipo kwa kazi sio mapambo!!✅️

Uko Ulaya wenzetu wanavipengele vingi ili uweze kutua kwao au kuwa juu ya Anga lao👈

So kutafuta fursa kwengine ni jambo lenye umuhimu sana✍️
 
Wewe mpuuzi huoni ni kichekesho ndege itokee Zanzibar badala ya Dar yenye population kubwa. Hapo ni Serikali ya Zanzibar kupoka mapato ya Tanganyika. Maana mapato ya Zanzibar ni mapato ya Zanzibar na Mapato ya Tanganyika ni mapato ya Tanganyika na Zanzibar.

Angalia sasa mnachimba bandari ili meli kubwa ziishie Zanzibar. Ili mpoke mapato, lakini mnatumia pesa ya mkopo ambao utalipwa na Tanganyika. Huo ni wizi tu. Tunajua mna mpango wa kujitegemea ili baadaye mjitenge
 
Hujui hata unachokiongelea, unafuata mkumbo tu.
 
Hujui hata unachokiongelea, unafuata mkumbo tu.
Kwa taarifa yako nina uhakika na ninachosema. Juzi mlishindwa tu kuhusu chanzo cha umeme. Maana plan yenu ilikuwa kuweka Solar Panels katika Bahari WB wakakataa hiyo proposal
 
Back
Top Bottom