Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
well done Dr.Samia Suluhu Hassan, unafanya kazi nzuri sana mh.Rais
Kwa hakika kama Taifa tuna kila sababu ya Kujivunia Uwepo Wa RAIS Samia Kitiniwell done Dr.Samia Suluhu Hassan, unafanya kazi nzuri sana mh.Rais
chapa kazi mama inavyostahili,
waTanzania wote wazalendo tupo nyuma yako na tunakuunga mkono 100kwa100💪🔥
Uwe unatumia akiliNdio kazi aliobakiza.
Naona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzuKumbe yuko zenji.Muda mzuri wa kuichukua Tanganyika yetu sasa.tumwambie abaki hukohuko.
ChildishKumbe yuko zenji.Muda mzuri wa kuichukua Tanganyika yetu sasa.tumwambie abaki hukohuko.
Samuya sio Dr, niambie aliusomea chuo gani?!.well done Dr.Samia Suluhu Hassan, unafanya kazi nzuri sana mh.Rais
chapa kazi mama inavyostahili,
waTanzania wote wazalendo tupo nyuma yako na tunakuunga mkono 100kwa100💪🔥
wewe akili mwili mzima ulizipata wapi na ulikua na nani kwa mfano siku hiyo gentleman?🐒Samuya sio Dr, niambie aliusomea chuo gani?!.