Umeona hii lakini?Kashafika zenji next destination kwa maankoo πππππ
Wee malaya wa kisiasa acha kutumia nguvu kujiuza.Uwe unatumia akili
Huyu sio rais.
Alichaguliwa na nani kwanza?
Ndio kazi aliobakiza.
Umeona hii lakini?
air-tanzania-begins-direct-flights-to-zanzibar-via-dar-es-salaam
Inatoka Zanzibar kwenda Oman via Dar
Vitu kama hivi ndiyo vinamfanya Makamu wa Rais awe mbogo.
... Read more on: Air Tanzania begins direct flights to Zanzibar via Dar es Salaam
kenda zake kupumsha kichwa masikini
Wewe mpuuzi huoni ni kichekesho ndege itokee Zanzibar badala ya Dar yenye population kubwa. Hapo ni Serikali ya Zanzibar kupoka mapato ya Tanganyika. Maana mapato ya Zanzibar ni mapato ya Zanzibar na Mapato ya Tanganyika ni mapato ya Tanganyika na Zanzibar.Vizuri tunataka tuweze kwenda mbali zaidi mana kwasasa tunandege za kutosha zipo kwa kazi sio mapambo!!β οΈ
Uko Ulaya wenzetu wanavipengele vingi ili uweze kutua kwao au kuwa juu ya Anga laoπ
So kutafuta fursa kwengine ni jambo lenye umuhimu sanaβοΈ
Hujui hata unachokiongelea, unafuata mkumbo tu.Wewe mpuuzi huoni ni kichekesho ndege itokee Zanzibar badala ya Dar yenye population kubwa. Hapo ni Serikali ya Zanzibar kupoka mapato ya Tanganyika. Maana mapato ya Zanzibar ni mapato ya Zanzibar na Mapato ya Tanganyika ni mapato ya Tanganyika na Zanzibar.
Angalia sasa mnachimba bandari ili meli kubwa ziishie Zanzibar. Ili mpoke mapato, lakini mnatumia pesa ya mkopo ambao utalipwa na Tanganyika. Huo ni wizi tu. Tunajua mna mpango wa kujitegemea ili baadaye mjitenge
Kwa taarifa yako nina uhakika na ninachosema. Juzi mlishindwa tu kuhusu chanzo cha umeme. Maana plan yenu ilikuwa kuweka Solar Panels katika Bahari WB wakakataa hiyo proposalHujui hata unachokiongelea, unafuata mkumbo tu.
Mie nko zangu huku magongo kuinama kwa KasongoYupo Ikulu ya Zanzibar sio mapunziko au likizo yupo hakiendelea kuwatumikia Wananchi wote ukiwemo wwβοΈ