Rais Samia amewatuma Mabalozi wakaulize wenzetu wamefanya uchawi gani kukua haraka kiuchumi

Rais Samia amewatuma Mabalozi wakaulize wenzetu wamefanya uchawi gani kukua haraka kiuchumi

sportstore

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2023
Posts
497
Reaction score
1,769
Rais Samia Suluhu Hassan anasema :

"Sote tunafahamu kuwa miaka ya 1960/70 nchi yetu na nchi za bara la Asia zilikuwa na uchumi unaolingana, lakini 'baada ya muda' wenzetu wametupita tena sana. Mfano Thailand kwa miaka hiyo ilikuwa na 'GDP Per Capita' ya Dola 166 na Tanzania tulikuwa 165. Leo Thaliland wako Dola 7,495 na sisi tuko 1,227.

Kwa hiyo hao mnaokwenda upande huo (Mabalozi) mtuambie wenzetu wamefanya uchawi gani kwenda haraka hivyo na sisi tunakosa nini? 'mentality' au vitu gani? Tuna 'resource' hatuzitumi? Mtuambie wenzetu
wamefanya nini na sisi tufanye nini."

Yaani Rais kushindwa kuelewa suala kama Hilo, why nchi kama Thailand imepaa kiuchumi? Kweli hapa katiba imetukatili..ndio maana nchi zingine Rais akifariki wanaitisha uchaguzi mkuu ili wananchi wampime kama anatosha kukalia hicho kiti na je ana uelewa mpana wa dhana ya maendeleo?
 
“Mtuambie wenzetu wamefanya uchawi gani kukua kiuchumi, na sisi tunakosa nini, tuna rasilimali hatuzitumii? au kitu gani, ila niseme ni wazi wenzetu wamepiga hatua kubwa sana licha ya kuwa sisi tumewazidi kwenye rasilimali diplomasia ya uchumi ifanye kazi hapa, tujiulize tuliachwa wapi?” - Rais SuluhuSamia

20230816_143727.jpg

Haiwezekani tuna kiongozi mkubwa wa nchi bado anaamini masuala ya giza katika kupata maendeleo makubwa ya kiuchumi , it look like hana a,b, c yoyote ili nchi ipate maendeleo ya kiuchumi ifanye nini ?

Hivi hili ni taifa la namna gani mtu yoyote asiwe na uelewa na masuala ya nchi kupiga hatua anapewa nafasi kubwa ya kuwa kiongozi wa nchi katika dira ya maendeleo.

Nikisema kuwa hili taifa linaongozwa na kipofu wa masuala ya maendeleo na uongozi nitakuwa nakosea jamani ?

Kwamba Rais hafahamu kuwa ili China, Russia, Qatar, U.S.A, Germany, Singapore, Malaysia, Korea, Japan n.k walifanya nini ili kupata maendeleo yao ya kiuchumi ?

Kwa kumsaidia nampa hawa watu wawe walimu kwake, ni nini kifanyike ili taifa lipate maendeleo makubwa ya uchumi na aache kuwatupia mzigo mabalozi ambao hata yeye akiaamua kuwa serious anaweza kujifunza nini kutoka kwa hawa viongozi mazuri yao economically na kutuvusha hapa tulipo:-
Francisco Franco
Park Chung Hee
Chiang kai shek
Deng Xiaoping
Urho Kekkonen
Mahathir Mohamad
Muammar Gaddafi
Lee Kuan Yew
Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum
 
Rais Samia Suluhu Hassan anasema :

"Sote tunafahamu kuwa miaka ya 1960/70 nchi yetu na nchi za bara la Asia zilikuwa na uchumi unaolingana, lakini 'baada ya muda' wenzetu wametupita tena sana. Mfano Thailand kwa miaka hiyo ilikuwa na 'GDP Per Capita' ya Dola 166 na Tanzania tulikuwa 165. Leo Thaliland wako Dola 7,495 na sisi tuko 1,227.

Kwa hiyo hao mnaokwenda upande huo (Mabalozi) mtuambie wenzetu wamefanya uchawi gani kwenda haraka hivyo na sisi tunakosa nini? 'mentality' au vitu gani? Tuna 'resource' hatuzitumi? Mtuambie wenzetu
wamefanya nini na sisi tufanye nini."

Yaani Rais kushindwa kuelewa suala kama Hilo, why nchi kama Thailand imepaa kiuchumi? Kweli hapa katiba imetukatili..ndio maana nchi zingine Rais akifariki wanaitisha uchaguzi mkuu ili wananchi wampime kama anatosha kukalia hicho kiti na je ana uelewa mpana wa dhana ya maendeleo?
Uchaguzi utafanyika mwaka kesho kutwa!
 
Samahani mwandishi nadhani utakuwa ni miongoni mwa watu wenye akili ndogo sana hapa duniani kama kauli ndogo kama hii ya Mh.Rais umeshindwa kuitafsiri.
Unataka kutetea nini ? Kuwa anafikiri kuna uchawi katika kuleta maendeleo ya kiuchumi na hakuna a,b,c zake ambazo yeye hata kabla ya kupewa nafasi hiyo lazima azijue ?
 
Uchawi mojawapo ni kuingia mikataba inayonyonya rasilimali za waafrika..mkataba wa kinyonyaji kama ule wa Dp world..hapo ndio tatizo linaanzia aache kutaja habari za kichawi..yeye mwenyewe kashalogwa nq waarabu..natabia hizo anazozifanya ndio inafanya bara la Africa lisiendelee
 
Shida ni ccm, tangu uhuru wao ndo wanaongoza nchi, nchi nyingine zilipata viongozi smart wakakua haraka haraka tz tukapata chama cha mapinduzi tukadumaa. tunhitaji new system sio new face from the same system
 
Muandishi wewe umetafsiri vibaya.

Rais kusema uchawi gani , Amemaanisha mbinu gani hajamaanisha matunguli
Hizo mbinu zinaonekana za kichawi kwamba yeye na chama chake hajui a,b,c zake mpaka sasa miaka 60 ?

Sasa huo ushirikiano Kati ya chama chake cha mbogamboga na vyama vya kikomunisti vya China na Vietnam wanafanya kwenye nini ?🚮
 
Uchawi mojawapo ni kuingia mikataba inayonyonya rasilimali za waafrika..mkataba wa kinyonyaji kama ule wa Dp world..hapo ndio tatizo linaanzia aache kutaja habari za kichawi..yeye mwenyewe kashalogwa nq waarabu..natabia hizo anazozifanya ndio inafanya bara la Africa lisiendelee
Pamoja sana
 
Back
Top Bottom