Tareq20
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 322
- 977
Kama rais mwenyewe hajui cha kufanya anajiuliza ni uchawi gani unatumika daaah jaman hivi tutafika kweli“Mtuambie wenzetu wamefanya uchawi gani kukua kiuchumi,na sisi tunakosa nini, tuna rasilimali hatuzitumii? au kitu gani, ila niseme ni wazi wenzetu wamepiga hatua kubwa sana licha ya kuwa sisi tumewazidi kwenye rasilimali diplomasia ya uchumi ifanye kazi hapa, tujiulize tuliachwa wapi?” - Rais SuluhuSamiaView attachment 2718932
Haiwezekani tuna kiongozi mkubwa wa nchi bado anaamini masuala ya giza katika kupata maendeleo makubwa ya kiuchumi , it look like hana a,b, c yoyote ili nchi ipate maendeleo ya kiuchumi ifanye nini ?
Hivi hili ni taifa la namna gani mtu yoyote asiwe na uelewa na masuala ya nchi kupiga hatua anapewa nafasi kubwa ya kuwa kiongozi wa nchi katika dira ya maendeleo.
Nikisema kuwa hili taifa linaongozwa na kipofu wa masuala ya maendeleo na uongozi nitakuwa nakosea jamani ?
Kwamba Rais hafahamu kuwa ili China, Russia, Qatar, U.S.A, Germany, Singapore, Malaysia, Korea, Japan n.k walifanya nini ili kupata maendeleo yao ya kiuchumi ?
Kwa kumsaidia nampa hawa watu wawe walimu kwake, ni nini kifanyike ili taifa lipate maendeleo makubwa ya uchumi na aache kuwatupia mzigo mabalozi ambao hata yeye akiaamua kuwa serious anaweza kujifunza nini kutoka kwa hawa viongozi mazuri yao economically na kutuvusha hapa tulipo:-
Francisco Franco
Park Chung Hee
Chiang kai shek
Deng Xiaoping
Urho Kekkonen
Mahathir Mohamad
Muammar Gaddafi
Lee Kuan Yew
Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum
Kuongozwa na maustadhat wa madrasa watu waliotakiwa kuwa wanachambua Mchele majumbani kwao eti ndio wanaongoza nchi ni shida kweli tuna Safar ndefu