Rais Samia amewatuma Mabalozi wakaulize wenzetu wamefanya uchawi gani kukua haraka kiuchumi

Kama rais mwenyewe hajui cha kufanya anajiuliza ni uchawi gani unatumika daaah jaman hivi tutafika kweli
Kuongozwa na maustadhat wa madrasa watu waliotakiwa kuwa wanachambua Mchele majumbani kwao eti ndio wanaongoza nchi ni shida kweli tuna Safar ndefu
 
Hiyo ni figure of speech lakini hili lijinga halijaelewa.
Hata kwenye kiingereza huwa kuna maneno kama hayo kwa mfano mtu akiwa anasifia goli zuri lililofungwa anasema "that was pure magic"!
Hana maana ya uchawi.
 
Uchawi!!!!? 🤣😅
subirini nicheke kwanza nitarudi baadaye
 
Mwandishi kaonyesha uwezo mdogo sana kwa kweli. Tumwombee. Mbona alichoongea raisi kipo clear kabisa
 
Hiyo ni figure of speech lakini hili lijinga halijaelewa.
Hata kwenye kiingereza huwa kuna maneno kama hayo kwa mfano mtu akiwa anasifia goli zuri lililofungwa anasema "that was pure magic"!
Hana maana ya uchawi.
Kwamba maendeleo ni suala la mazingaombwe yeye hafahamu a,b,c za kupata maendeleo ya kiuchumi sasa kazi yake nini hapo ikulu kama a,b,c za maendeleo ya kiuchumi hafahamu ?
 
Mwandishi kaonyesha uwezo mdogo sana kwa kweli. Tumwombee. Mbona alichoongea raisi kipo clear kabisa
Kipo clear kuwa yeye mpaka sasa hafahamu ili kupata maendeleo ya kiuchumi nini kifanyike ? Na anafikiri kuwa ni mazingaombwe China, Korea, U.S.A, Japan kuwa pale zilipo ? Si atoke sasa ikulu awaachie wanaojua ?
 
Hakumaanisha hivyo bali ni neno kivumishi cha kawaida
Alimaanisha hajui kitu chochote ili taifa lipate maendeleo ya kiuchumi lifanye nini ? Chawa unatetea mpaka masuala ya kipuuzi kama haya yanayo ligharimu taifa kwa kuwa na viongozi wakubwa wasiojua chochote hii ni hasara kubwa.
 
Ndiyo hiyo inayo itwa kupinga kila Jambo
Hata huo msemo hujui
Mchawi wa soka
Mchawi wa hesabu
Mchawi wa kompyuta
Maana yake sio ulozi unaotaka tuamini
Kilicho ongelewa hapo ni kitu gani cha ajabu walicho Fanya wenzetu
 
shida ni ccm, tangu uhuru wao ndo wanaongoza nchi, nchi nyingine zilipata viongozi smart wakakua haraka haraka tz tukapata chama cha mapinduzi tukadumaa. tunhitaji new system sio new face from the same system
Pamoja sana
 
Ndiyo hiyo inayo itwa kupinga kila Jambo
Hata huo msemo hujui
Mchawi wa soka
Mchawi wa hesabu
Mchawi wa kompyuta
Maana yake sio ulozi unaotaka tuamini
Kilicho ongelewa hapo ni kitu gani cha ajabu walicho Fanya wenzetu
Amemaanisha kwamba hana anachojua kwamba taifa lifanye nini ili lipate maendeleo ya kiuchumi na anadhani kuna mazingaombwe yanatokea ili taifa lipate maendeleo ya kiuchumi.

Inakuwa vipi kiongozi asiejua chochote kuhusu a,b,c gani za kupita ili taifa lipate maendeleo ya kiuchumi anapewa nafasi kubwa kama hiyo ya kuongoza dira ya maendeleo ya taifa ?
 
Hiyo ni figure of speech lakini hili lijinga halijaelewa.
Hata kwenye kiingereza huwa kuna maneno kama hayo kwa mfano mtu akiwa anasifia goli zuri lililofungwa anasema "that was pure magic"!
Hana maana ya uchawi.
Magic ni muujiza au maajabu lakini uchawi ni superstition.
 
Ndiyo hiyo inayo itwa kupinga kila Jambo
Hata huo msemo hujui
Mchawi wa soka
Mchawi wa hesabu
Mchawi wa kompyuta
Maana yake sio ulozi unaotaka tuamini
Kilicho ongelewa hapo ni kitu gani cha ajabu walicho Fanya wenzetu
Mkuu, if that's the case, kwanini ukimuita mtu mchawi, anaenda kukufungulia mashitaka??
 
Umejidhalilisha sana kupitia huu uzi .
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…