Rais Samia amjibu Mbowe kwamba umaarufu wa Lowasa uliibeba CHADEMA

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
Your browser is not able to display this video.

Katika Hotuba yake katika mazishi ya Edward Lowassa, Rais Samia amesema kura nyingi walizopata CHADEMA 2015 zilikuwa ni kwa sababu ya umaarufu ambao Lowassa alijijengea. Rais ametambua kazi nzuri zilizofanya na Edward Lowassa katika nafasi mbalimbali alizowahi kuzishika serikalini. Aidha, alikuwa ni mwanachama wa CCM kwa muda mrefu hadi mwaka 2015 ambapo alihamia CHADEMA na kugombea urais lakini baadae alirudi tena CCM hadi umauti umemfika.
 
Kabla ya Samia kusema hayo alipaswa kwanza Samia huyo huyo aseme umaarufu wa Lowassa ndio ulioiua CCM 2015.

Yule mmasai 2015 alishinda urais, wale wahuni wa kupiga nyeto (wakiongozwa na Kinana, Nape na January) wakacheza na goli la mkono ili kumbeba Magufuli, halafu Magufuli alipokalia kile kiti akawachinjia baharini wapiga nyeto, wapiga nyeto wakafufuka baadaye kwa gear ya Covid wakammaliza Jiwe kiaina.
 
Mbona hakumalizia kuongelea kuhusu kumuibia kura zake na kuupora ushindi wake katika nafasi aliyoigombea ya urais. Ashukuru sana kwa yaliyotoea, otherwise nchi kwa hivi sasa ingalikuwa chini ya urais wa Mh. Babu Duni.
hajaibiwa kura
 
Mbona hakumalizia kuongelea kuhusu kumuibia kura zake na kuupora ushindi wake katika nafasi aliyoigombea ya urais. Ashukuru sana kwa yaliyotoea, otherwise nchi kwa hivi sasa ingalikuwa chini ya urais wa Mh. Babu Duni.
Ukweli maza anaujua vizuri sn
 
Tukio Moja kubwa lililompa amani na furaha Hayati Magufuli ni Lowassa kurudi CCM maana ushawishi wa Lowassa ungeendelea kuibeba sana CHADEMA. Lile tukio la kumpokea Lowassa nililiona tabasamu halisi kabisa la Hayati Magufuli. Mungu awalaze mahali pema, hakika walikuwa ni mashujaa wasisahaulika katika historia.
 
Asiweza kuendelea kukaa chadema kwa figisu zilizoanzishishwa kwa ajili ya kumdhibiti kisiasa ikiwemo kupiga marufuku ya mikutano ya siasa. Magufuli alitumia akili sana. vinginevyo JPM asingeweza kutawala Lowasa akiwa upinzani na uhuru wa kidemokrasia. he was so influencial na bila kubanwa asingerejea CCM.Aliona isiwe taabu akarudi vivyo hivyo kwa Sumaye na wengine.
 
Nakiri yule Mwendawazimu Edo alishinda for sure.
´Yule jamaa hata kampeni sake zilikuwa za mchongo, msela alikuwa hana nguvu kabisa but ile kumkashifu na kumkata CCM ndio kama ilimpa umaarufu. Many people voted not for Chadema but for Lowassa.

Hii kitu Chadema should learn to differentiate
People voted for lowassa sio Chadema

I am pretty sure lissu anaweza kuwa mrith mzur wa lowassa ; shida mbowe na chama cha ukoo ni tatizo
 
Ndio maana wazigua wamechoka
 
Lowassa kama angepitishwa na CCM upinzani ungepata asilimia zaidi 10 ningeamini upinzani umekomaa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…