Rais Samia amjibu Mbowe kwamba umaarufu wa Lowasa uliibeba CHADEMA

Kitu cha kinafiki na cha aibu ni kusoma historia ya lowasa bila kimbunga cha 2015 afu mama anakuja na kejeli eti mbowe angekosa la kusema? Nyie msibani mtu unaweza kosa la kusema? Nyie hizi siasa.

Maiti ikiwa inazikwa mnafsi yake huwa hapo pembeni nadhani kama kuna kitu lowasa amakipenda akiwa katika hali ya nafsi leo ni mbowe kusema kimbunga kilicho tokea 2015 mafuriko nchi mzima.

Rip Lowassa.
 
MACHADEMA hayakufika hata kumjulia hali akiwa mgonjwa halafu leo yanalialia na kuharisha eti historia. Kaandike historia na Joisi Mkiaaa . Bumunda la zege.
 
Reactions: Tui
Hivi ilikuwa ni UKAWA au Chadema?Kwa sababu umoja huo pia ulisaidia kupata kura nyingi ingawa hazikutosha.Walipata kura kutoka Zanzibar kwa sababu ya CUF.Leo wanaojipa ujiko ni Chadema kwa nguvu za UKAWA. Baada ya uchaguzi huo hadithi za kuibiwa kura zikaibuka upya.The rest is history.
 
Amesema ukweli mtupu... kuna vitu havifutiki sijui kwanini hawakuweka hii part Uwezi kuandika historia ya Lowassa bila kutaja CHADEMA. Ni kujidangaya tu. Hili ni taifa letu sote
 

Angeenda TLP akapate hizo kura maana alikuwa maarufu. Anadhani hatujui kuwa Lowassa ndio alirukia mvuto wa cdm?
 

Watu walijiandikisha kwa hamasa wakijua Lowassa ndio atakuwa mgombea wa ccm, na Kila aliyetaka kitambulisho alikiita kichinjio Ili kumchinja Lowassa. Kwa mshangao ww wengi Mbowe na genge lake wakapokea hongo ya Lowassa na kumpa nafasi adhimu ambayo hakuistahili ndani ya cdm. Angeenda TLP au TADEA maana kura zilikuwa ni zake, ili mlete mrejesho.
 
Namna ya kudili na wapumbavu kama bumunda Nape ni kuwadharau na kuwapuuza tu mwisho wa siku wenyewe ndiyo wanaumia kama hivi
 

Attachments

  • 20240214_140246.jpg
    139.4 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…