Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Utu ni bora kuliko fedha, hiyo fedha inanuka damu.Rais Samia Suluhu Hassan ametoa TSh20 milioni kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Stephano Musomba, kwa ajili ya kusaidia gharama za mafuta ya gari katika mizunguko yake ya kichungaji.
Fedha hizo zimekabidhiwa leo Jumapili, Mei 4, 2025 na Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango aliyemwakilisha Rais Samia katika ibada ya kumsimika rasmi askofu huyo, iliyofanyika mkoani Pwani.
"Ninaomba nimalizie hotuba hii kwa kukabidhi fedha kidogo, TSh20 milioni ambazo Rais amenituma nimkabidhi Baba Askofu Msomba kwa ajili ya mafuta ya gari ya kuanzia ziara zake za kichungaji, katika jimbo hili jipya," amesema Dk Mpango.
Kula nyama, nyamazaWape nyama wanyamaze
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa TSh20 milioni kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Stephano Musomba, kwa ajili ya kusaidia gharama za mafuta ya gari katika mizunguko yake ya kichungaji.ππππππππππππππRais Samia Suluhu Hassan ametoa TSh20 milioni kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Stephano Musomba, kwa ajili ya kusaidia gharama za mafuta ya gari katika mizunguko yake ya kichungaji.
Fedha hizo zimekabidhiwa leo Jumapili, Mei 4, 2025 na Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango aliyemwakilisha Rais Samia katika ibada ya kumsimika rasmi askofu huyo, iliyofanyika mkoani Pwani.
"Ninaomba nimalizie hotuba hii kwa kukabidhi fedha kidogo, TSh20 milioni ambazo Rais amenituma nimkabidhi Baba Askofu Msomba kwa ajili ya mafuta ya gari ya kuanzia ziara zake za kichungaji, katika jimbo hili jipya," amesema Dk Mpango.
View attachment 3324484
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa TSh20 milioni kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Stephano Musomba, kwa ajili ya kusaidia gharama za mafuta ya gari katika mizunguko yake ya kichungaji.Huku sio kuchanganya uchumi na dini na siasa ?π
Amefeli pakubwa. Maaskofu Katoliki sio kama kina Mwamposa au watumishi wa vikanisa uchwara ambao wakihongwa pesa wanaziba midomo na kuacha kuongelea kuhusu haki.Rais Samia Suluhu Hassan ametoa TSh20 milioni kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Stephano Musomba, kwa ajili ya kusaidia gharama za mafuta ya gari katika mizunguko yake ya kichungaji.
Fedha hizo zimekabidhiwa leo Jumapili, Mei 4, 2025 na Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango aliyemwakilisha Rais Samia katika ibada ya kumsimika rasmi askofu huyo, iliyofanyika mkoani Pwani.
"Ninaomba nimalizie hotuba hii kwa kukabidhi fedha kidogo, TSh20 milioni ambazo Rais amenituma nimkabidhi Baba Askofu Msomba kwa ajili ya mafuta ya gari ya kuanzia ziara zake za kichungaji, katika jimbo hili jipya," amesema Dk Mpango.
View attachment 3324484
Rushwa rushwaRais Samia Suluhu Hassan ametoa TSh20 milioni kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Stephano Musomba, kwa ajili ya kusaidia gharama za mafuta ya gari katika mizunguko yake ya kichungaji.
Fedha hizo zimekabidhiwa leo Jumapili, Mei 4, 2025 na Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango aliyemwakilisha Rais Samia katika ibada ya kumsimika rasmi askofu huyo, iliyofanyika mkoani Pwani.
"Ninaomba nimalizie hotuba hii kwa kukabidhi fedha kidogo, TSh20 milioni ambazo Rais amenituma nimkabidhi Baba Askofu Msomba kwa ajili ya mafuta ya gari ya kuanzia ziara zake za kichungaji, katika jimbo hili jipya," amesema Dk Mpango.
View attachment 3324484
RUshwaRais Samia Suluhu Hassan ametoa TSh20 milioni kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Stephano Musomba, kwa ajili ya kusaidia gharama za mafuta ya gari katika mizunguko yake ya kichungaji.
Wanawapoza na walivyo wa ajabu watamshukuru na kupoa.Milioni ishirini kwa ajili ya mafuta..
Anaendesha scania au bus huyo askafu?
Huyu mama amechanganyikiwa. Anadhani watu watakiuka viapo vyao kwa Mungu kuhubiri haki kwa sababu ya vipande vyake vya fedha?Rais Samia Suluhu Hassan ametoa TSh20 milioni kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Stephano Musomba, kwa ajili ya kusaidia gharama za mafuta ya gari katika mizunguko yake ya kichungaji.ππππππππππππππ