PreGE2025 Rais Samia ampa TSh 20 milioni Askofu wa jimbo jipya la Bagamoyo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nimecheka sana hiyo ni hongo ndiyo ushawishi uliobaki ila bado watu wanataka uchaguzi wa uwazi uhuru na haki
 
Amefeli pakubwa. Maaskofu Katoliki sio kama kina Mwamposa au watumishi wa vikanisa uchwara ambao wakihongwa pesa wanaziba midomo na kuacha kuongelea kuhusu haki.
Mkuu, ukiona mtu amefikia hatua ya kuhongwa na serikali, huyo ameshavuka levo za uchwara
 
Amefeli pakubwa. Maaskofu Katoliki sio kama kina Mwamposa au watumishi wa vikanisa uchwara ambao wakihongwa pesa wanaziba midomo na kuacha kuongelea kuhusu haki.
Mnalioverate sana hilo kanisa.
Hao Maaskofu ukiwawekea kwenye akaunti zao za bank yao ya Mkombozi utaona wanavyopishana na maroba, mashangazi kaja kuchotelea mihela. Kesho wanakuja kubwekabweka tu na waraka but no action.
Waijua asali wewe!
 
Kuna yule wa Kanda ya Ziwa alizikataa hivi zilitolewa na nani
 
Mkuu you already know it huna haja ya kuuliza. Ila hii nchi ni ya ki*nge sna amini nakwambia.

I don't know why illiterates wanapata nafasi nyeti kama ya kuwa leaders wa hili Taifa lazima kuna tatizo somewhere.
 
Kiongozi asiye na maono hufanya hivyo!!
 
Anazitoa kwenye fungu la ukarimu la ofisi ya Rais. Halikaguliwi hilo
 
Sipatani na machawa na makunguni tu.
Kiuchumi japo tuko nyuma ya keyboard, sikufahamu wala hunifahamu kiiuchumi. Ila nakuhakikishia unatamanj japo kupata nusu ya mali zangu.
Pambania ubunge labda tutakaa meza moja siku 1.

Peace ✌️
😹😹😹 Una mikwara..!!
 
Kwa jeuli ya wa loma hiyo itarudishwa..............sadaka ya mara moja St joseph inazidi hiyo pesa ..........kwa hiyo kanisa halina shida ya tupesa pesa twa mboga......alisikika mwana kwaya mmoja wa kwaya ya wazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…