PreGE2025 Rais Samia ampa TSh 20 milioni Askofu wa jimbo jipya la Bagamoyo

PreGE2025 Rais Samia ampa TSh 20 milioni Askofu wa jimbo jipya la Bagamoyo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuna umuhimu wa kujua stahiki zote anazopata mtumisho wetu, ili tupime kama anastahili, tunampunja au tuna mpa ziada!

Mshahara wa Trump unajulikana, wa Samia ni siri!
Magufuri mwanzo alitudanganya kaushusha mpaka 19 mil,kumbe sio kweli

Kuna jamaa aliwah niogopesha kwamba hawa watawala wetu unaweza jikuta wanajilipa hata mil 100
 
Amefeli pakubwa. Maaskofu Katoliki sio kama kina Mwamposa au watumishi wa vikanisa uchwara ambao wakihongwa pesa wanaziba midomo na kuacha kuongelea kuhusu haki.
Huo ndio ukweli, kwani moja ya maelekezo ya Watumishi wa Kanisa Katoliki ni "kutenda na kutetea haki"
 
Magufuri mwanzo alitudanganya kaushusha mpaka 19 mil,kumbe sio kweli

Kuna jamaa aliwah niogopesha kwamba hawa watawala wetu unaweza jikuta wanajilipa hata mil 100
Mkuu, zipo taarifa kuwa,

Magu alishusha kweli, na wala si hiyo 19m, bali ni chini ya hapo...na moja ya lengo lilikuwa kushusha ile 80% ya wastaafu...wakati huo, alikuta raisi aliyemtangulia anajilipa 35m tax free.
 
Huyu mama amechanganyikiwa. Anadhani watu watakiuka viapo vyao kwa Mungu kuhubiri haki kwa sababu ya vipande vyake vya fedha?

..mimi naona bora aingie madaraka kwa kuhonga mapesa kuliko kumwaga damu za watu.

..na ninamsihi kuanzia sasa hivi asitishe ukatili, badala yake atumie fedha wakati wa uchaguzi.

..kinyume na hapo arudi kwao.
 
Calm down gentleman 🤣

na uache uvivu sasa, unyonge wa kiuchumi ni kitu mbaya sana.. unajikuta na hasira kupindukia bila sababu yoyote 🐒
Sipatani na machawa na makunguni tu.
Kiuchumi japo tuko nyuma ya keyboard, sikufahamu wala hunifahamu kiiuchumi. Ila nakuhakikishia unatamanj japo kupata nusu ya mali zangu.
Pambania ubunge labda tutakaa meza moja siku 1.

Peace ✌️
 
Ni kweli Rais hapaswi kutoa toa fedha kama njugu lakini kusema kanisa lilirudishe wakati pale zimepokelewa zawadi mbalimbali ikiwemo hiyo ya Mgeni Rasmi tena mkatoliki mwenzetu haitakuwa sawa utakuwa ni ubaguzi.Nadhani muktadha wa ilivyotolewa ichukuliwe na pongezi ya mgeni rasmi na itawasaidia watu wa bagamoyo.
Ikataliwe tu
 
Uzuri wa mapadre wako wengi, ni km kulinda bahari kawe halafu kigamboni watu wanaendelea kuogelea…!!
Au kuziba shimo la panya kwa mkate.. 😹
Hawana meno.
Toka TL awekwe ndani wamefanya lipi la maana zaidi ya matamko hewa
 
Nimebahatika kuhudhuria misa hio hakika waumini walifurahi sana baada ya zawadi hio kutolewa. Watu walijaa wengii licha ya mvua kunyesha lakini hamna kilichoharibika.

Sema Hawa vijana wa system wa Vice president ni kama wepesi wepesi hivii😀
 

Attachments

  • IMG_20250504_082439.jpg
    IMG_20250504_082439.jpg
    674.7 KB · Views: 16
"Ninaomba nimalizie hotuba hii kwa kukabidhi fedha kidogo, TSh20 milioni ambazo Rais amenituma nimkabidhi Baba Askofu Msomba kwa ajili ya mafuta ya gari ya kuanzia ziara zake za kichungaji, katika jimbo hili jipya," amesema Dk Mpango.
Rushwa hupofusha! Huwezi kusema 20m ni pesa kidogo! Huu ni UJINGA sana
 
Anatoa hongo ili kupoza machungu ya wananchi kuhusu Samia kumuua mdude na kutaka kumuua padri kitima
 
MBinu ni zilezile za kila siku
 
Magufuri mwanzo alitudanganya kaushusha mpaka 19 mil,kumbe sio kweli

Kuna jamaa aliwah niogopesha kwamba hawa watawala wetu unaweza jikuta wanajilipa hata mil 100
Mshahara unaweza kuwa mdogo
Ogopa kitu inaitwa posho.
Unakumbuka kipindi cha Kikwete kuna mama alikataa Mshahara kwa madai serikali ya Tz haiwezi mlipa Mshahara anaotaka (alikuwa nje) akaja kufanya kazi kwa posho tu.
 
Sioatani na machawa na makunguni tu.
Kiuchumi japo tuko nyuma ya keyboard, sikufahamu wala hunifahamu kiiuchumi. Ila nakuhakikishia unatamanj japo kupata nusu ya mali zangu.
Pambania ubunge labda tutakaa meza moja siku 1.

Peace ✌️
acha masikhara gentleman mropokaji 🤣

kua tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi binafsi wa mtu mwenyewe.
Kutamani mali ya mtu mwingine aliyoipata kwa jasho lake ni nonsense.

Utumishi wangu kwa wananchi ni Baraka na Neema za Mungu. Namshukuru kwamba nainjoy na wananchi wangu wanainjoy pia.

Ongeza bidii ya kazi na sio chuki na uropokaji gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom