Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
20M ya mafuta ya gariš¤£Huyu mama amechanganyikiwa. Anadhani watu watakiuka viapo vyao kwa Mungu kuhubiri haki kwa sababu ya vipande vyake vya fedha?
20M ya mafuta ya gariš¤£Huyu mama amechanganyikiwa. Anadhani watu watakiuka viapo vyao kwa Mungu kuhubiri haki kwa sababu ya vipande vyake vya fedha?
Toa pesa msimamo ni ule ule mabadiliko ya sheria watu wapate haki zaoIshachukuliwa huko
Kama unayo yasema ni kweli angezikataa huzo hela.Amefeli pakubwa. Maaskofu Katoliki sio kama kina Mwamposa au watumishi wa vikanisa uchwara ambao wakihongwa pesa wanaziba midomo na kuacha kuongelea kuhusu haki.
Calm down gentleman š¤£Zombi mama na baba yako waliozaa kunguni mwandamizi, bora baba yako angejichukulia sheria mkononi kuepusha hii laana.
Sawa acha tujipe utulivu na subiraMkuu RC hawana uwezo wa kurudisha pesa.
Tafsiri yake ni kuweka resistance kwa Rais, na hawako tayari kwa hilo.
Raisi akifanya vizuri apongezwe! Tusimvunje moyo kwa kupinga kila kitu.Rais Samia Suluhu Hassan ametoa TSh20 milioni kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Stephano Musomba, kwa ajili ya kusaidia gharama za mafuta ya gari katika mizunguko yake ya kichungaji.
Fedha hizo zimekabidhiwa leo Jumapili, Mei 4, 2025 na Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango aliyemwakilisha Rais Samia katika ibada ya kumsimika rasmi askofu huyo, iliyofanyika mkoani Pwani.
"Ninaomba nimalizie hotuba hii kwa kukabidhi fedha kidogo, TSh20 milioni ambazo Rais amenituma nimkabidhi Baba Askofu Msomba kwa ajili ya mafuta ya gari ya kuanzia ziara zake za kichungaji, katika jimbo hili jipya," amesema Dk Mpango.
View attachment 3324484
Kama atategemea kuwanyamazisha atafilisi nchi maana hiyo tukiichukulia kama rushwa itabidi ahonge majimbo yote.Wape nyama wanyamaze
kah!Utu ni bora kuliko fedha, hiyo fedha inanuka damu.
Pesa wanachukua na supana anakulaHuyu mama amechanganyikiwa. Anadhani watu watakiuka viapo vyao kwa Mungu kuhubiri haki kwa sababu ya vipande vyake vya fedha?
Askofu hakukataa, maana kwa hela hao!!Utu ni bora kuliko fedha, hiyo fedha inanuka damu.
Wameshughulikiwa haswa mpaka Mpango ameomba poaSijapata mahubiri yake huyo askofu, kuna mahali amelaani kushambuliwa kwa padri?
Hakukataa hela,kwa hela hao!!Pesa wanachukua na supana anakula
Kuwakamata waliomshambulia padri kitima ni Bora Mara elfu kuliko hiyo pesa. Hapa anang'ata na kupuliza .Utu ni bora kuliko fedha, hiyo fedha inanuka damu.
RC ni taifa kubwa snAmefeli pakubwa. Maaskofu Katoliki sio kama kina Mwamposa au watumishi wa vikanisa uchwara ambao wakihongwa pesa wanaziba midomo na kuacha kuongelea kuhusu haki.