B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
RC hawanaga njaa kama uwazavyoSahau mkuu, kwa hali hii unaijua 20m
RC hawanaga njaa kama uwazavyoSahau mkuu, kwa hali hii unaijua 20m
sihusiki na ushirikina huo gentleman,Mungu gani akufahamu wewe kunguni mwandamizi?
Labda Zeus
Ndio wameshapokea hao walioshiba.RC hawanaga njaa kama uwazavyo
Plus fedha kidogoMilioni ishirini kwa ajili ya mafuta..
Anaendesha scania au bus huyo askafu?
Zombi mama na baba yako waliozaa kunguni mwandamizi, bora baba yako angejichukulia sheria mkononi kuepusha hii laana.sihusiki na ushirikina huo gentleman,
ni Mungu pekee ndie ninae muamini na ndie alieniumba mimi Dr.Samia Suluhu Hassan na nyie mazombie wachache wakutufurahisha 🐒
"kusaidia gharama za mafuta ya gari katika mizunguko yake ya kichungaji."Rais Samia Suluhu Hassan ametoa TSh20 milioni kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Stephano Musomba, kwa ajili ya kusaidia gharama za mafuta ya gari katika mizunguko yake ya kichungaji.
Fedha hizo zimekabidhiwa leo Jumapili, Mei 4, 2025 na Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango aliyemwakilisha Rais Samia katika ibada ya kumsimika rasmi askofu huyo, iliyofanyika mkoani Pwani.
"Ninaomba nimalizie hotuba hii kwa kukabidhi fedha kidogo, TSh20 milioni ambazo Rais amenituma nimkabidhi Baba Askofu Msomba kwa ajili ya mafuta ya gari ya kuanzia ziara zake za kichungaji, katika jimbo hili jipya," amesema Dk Mpango.
View attachment 3324484
20M ndiyo nini? Akahonge mashehe ubwabwaNgoja tuone nguvu ya asali..
Ilibidi wazikatae hizi pesa. Wamuulize wale watu Samia aliowatuma kumshambulia Padre Kitima wako wapi? Wamechukuliwa hatua gani.Njaa mbaya, walipaswa kuikataa mpaka kitime apate haki.
Haya acha tuone itakavyo kuwa ila hakuna vita ni hekima zao zitumike vyemaNdio wameshapokea hao walioshiba.
Kuna umuhimu wa kujua stahiki zote anazopata mtumisho wetu, ili tupime kama anastahili, tunampunja au tuna mpa ziada!Kama mbunge tu ana pesa za mfuko wa jimbo sasa rais atakosaje
kuna 10mil kila rais anapofanya ziara(yaan nikibunda anachotembea nacho kwenye magar),kuna wakat huwa hazitumii
Inasikitisha sanaImeshakubalika wamepokea.
FIATMilioni ishirini kwa ajili ya mafuta..
Anaendesha scania au bus huyo askafu?
Mkuu RC hawana uwezo wa kurudisha pesa.Haya acha tuone itakavyo kuwa ila hakuna vita ni hekima zao zitumike vyema
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa TSh20 milioni kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Stephano Musomba, kwa ajili ya kusaidia gharama za mafuta ya gari katika mizunguko yake ya kichungaji.
Fedha hizo zimekabidhiwa leo Jumapili, Mei 4, 2025 na Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango aliyemwakilisha Rais Samia katika ibada ya kumsimika rasmi askofu huyo, iliyofanyika mkoani Pwani.
"Ninaomba nimalizie hotuba hii kwa kukabidhi fedha kidogo, TSh20 milioni ambazo Rais amenituma nimkabidhi Baba Askofu Msomba kwa ajili ya mafuta ya gari ya kuanzia ziara zake za kichungaji, katika jimbo hili jipya," amesema Dk Mpango.
View attachment 3324484
Ngonjera zitafata soon au matamko hewaInasikitisha sana
Ishachukuliwa hukoWakatoliki hatuongeki no reform no election
100%RUshwa
Silence ya Baba Askofu imelipiwa mapema kabisa!Rais Samia Suluhu Hassan ametoa TSh20 milioni kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Stephano Musomba, kwa ajili ya kusaidia gharama za mafuta ya gari katika mizunguko yake ya kichungaji.