ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Naona kama vile siku hizi Ndugai NAE anajipima ubavu na Mtemi Hangaya.Magufuli alikopa zaidi ya trillion 30 peke yake ndani ya miaka 5 tu, lakin Huyo Ndugai hakuongea kitu. Lakin huyu mama amekopa trillion 1.3 Ndugai anapiga kelele kila mahali!
Kwa hiyo Bi Mkubwa TOZO anafuta, au?
Pole sana,Wewe wasema.. mikataba imeisha sainiwa na watu wapo site. Kwanini isiishe?
Asoiba Nani ?Ameiba trillion 1.5
Mikopo ya Magufuli ilielekezwa kwenye miradi ya maendeleo Kama barabara, umeme, reli na maji. Ni miradi ambayo inazalisha au inachochea uchumi.Magufuli alikopa zaidi ya trillion 30 peke yake ndani ya miaka 5 tu, lakin Huyo Ndugai hakuongea kitu. Lakin huyu mama amekopa trillion 1.3 Ndugai anapiga kelele kila mahali!
Nadhani alimaanisha ^uwezo wa kukubali kushawishiwa^Kupata mkopo ni uwezo wa 'ushawishi'. Huo uwezo wa kushawishi ni wa namna gani, wajuzi wa mambo tueleweshen hapo. maana ushawishi unaweza kuwa: nipe mkopo alafu nitakuachia bandari ya dasilam kwa miaka 20!
Aliyeleta wazo la ujenzi wa sgr sijui alifikiria nini. Kitu imekula pesa na hamna tulichofanikiwa hadi sahivi.
UVIKO-19 imekula mkopo mrefu zaidi kuliko chochote. Miradi inayozungumziwa ni just deceptive baits za kuwapumbaza nyie.Amekopa trillion 7.7 ili kumalizia miradi ya huyo marehemu wenu. Laasivyo haitaisha hiyo
Bado kuna matrilioni mafisadi & wahuni waliochoropoka mapangoni wamelipwa kama fidia eti.USD 30m walizolipwa wahindi kwa madai ya kusimamia mifumo TANESCO na pesa kwa Blair hazina uhusiano na hiyo miradi.
Umeona, eeeh!? Hakuna mtu hapo wa kusimamia miradi, akaipush, ikakamilika. Hizo ni mbwembwe na kelele tu za majukwaani.Miradi haitaikamilika, mihela itatokomea, kitakachobaki ni mzigo madeni makubwa kama ya DRC.
Wapo saiti wanatumbua hela na kuzuga as though wanafanya kitu cha maana. Ndiyo maana barabara ya lami, kilometa moja wanajenga kwa zaidi ya miezi ^sea-tar^ na nusu.Wewe wasema.. mikataba imeisha sainiwa na watu wapo site. Kwanini isiishe?
Hamtaki miradi yenu imaliziwe?Bi Mkubwa amekopa TRILIONI 7.7 within 4 months. It's means akikaa hadi 2025 atakuwa amekopa almost TRILIONI 100.
Swali la kujiuliza. Hii miradi imeanza kipindi hiki alipokabidhiwa madaraka au enzi ya JPM ambayo ilikuwa inaenda kasi kuliko hata sasa nayeye akiwepo.Jana nilisambaa video ikimuonesha Spika Job Ndugai akitoa kauli zilizofanya watu wahoji nia yake dhidi ya Serikali iliyopo madarakani.
Katijka hali ya kushangaza, Spika Ndugai ambaye alikuwa mmoja wa wapiga zumari wakubwa wa Serikali iliyopita, alionekana kukandia mikopo inayokopwa na Serikali kwa ajili ya maendeleo ya watu. Mfano akizungumzia mkopo wa Trilioni 1.3 ambao Serikali imekopa kutoka IMF, Ndugai amesema ni "Mikopo mikubwa mikubwa isiyoeleweka". Ndugai alishangaa kitendo cha Serikali "KUPIGA MAKOFI" baada ya kupokea mikopo hiyo, akisema kwamba mwaka 2025 watu wataamua kama watapenda kuwa na Serikali inayokopa kopa.
RAIS SAMIA 'AMPIGA"
Akihutubia baada ya kushuhudia utiwaji saini wa mkataba wa ujenzi wa SGR kipande cha Makutopora hadi Tabora , Rais Samia amesema kuna jitihada kubwa za kumvunja moyo katika mikopo, na akatoa hoja za kueleweka kueleza kwa nini tunakopa.
Rais amesema lazima tuendelee kukopa kwa sababu:
1. Tuna miradi ya matrilioni ambayo ilishaazishwa na lazima tuitekeleze kwa wakati. Alitolea mfano wa SGR kwamba ni uwekezaji wa trilioni zaidi ya 14, hivyo hatuwezi kusubiri ni lazima tukope kutekeleza.
2. Mikopo inayotolewa ni mikopo nafuu. Hili linaijibu hoja ya Ndugai aliyejaribu kuonesha kwamba deni la Taifa halistahimiliki akitia chumvi kwamba ipo siku "NCHI ITAPIGWA MNADA". Rais Samia amesema tunatafuta mikopo nafuu akisema kubwa ni uwezo wa kushawishi
3. Kukopa ni kawaida. Tanzania inakopa tangu enzi na enzi, Marais wote walikopa huku Rais aliyepita (Magufuli) akikopa zaidi kwa kuangalia kipindi alichokaa madarakani (Ndugai alikuwa anashangilia tu).
VIDEO (kwa hisani ya @mamayukokazini) HIYO HAPO CHINI
Hawa ccm ni tatizo la kitaifa.Tulihubiriwa kuwa Magu anajenga kwa fedha za ndani,deni linahimilika na tunakopesheka.Mara nchi ya uchumi wa katichini,donnar country sasa tunauzwa!Ccm Ndiyo Tatizo
Wewe unaliwa kotekote? au wewe ni mumsumbiji?Basi, ni wazi Watanzania sasa wanaliwa kotekote 🙂