Rais Samia ampokea Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema aliyekuja kwa ziara ya siku moja

Rais Samia ampokea Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema aliyekuja kwa ziara ya siku moja

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpokea Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

Rais Hichilema amekuja nchini kwa ajili ya ziara ya Kiserikali ya siku moja.

Ziara hiyo inakusudia kuimarisha zaidi mahusiano mazuri yaliyopo baina ya Zambia na Tanzania katika nyanja zote ikiwa ni kwa manufaa ya watu wa nchini hizo.

... hili fupa la miaka na miaka lingepata ufumbuzi ingekuwa jambo jema sana; Ziwa Nyasa (Malawi) Tanzania ina portion au haina? Ifike mahali kuwe na common understanding kati ya pande mbili zinazohusika.
 
Ziara umeelezwa ya Rais wa Zambia, ziwa nyasa linaingiaje wakati ziwa Nyasa liko malawi, haikande ni mambo ya mgomo wa juzi wa madreva kuchelewa mizigo ya zambia, sana issue za kutoa mizigo yao bandarini kiurahisi na reli ya TAZARA hizo ndio issue watakazojadili na labda mikataba ya ushirikiano baina ya mataifa haya mawili.
 
Ni rais wa zambia sio malawi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpokea Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere

Rais Hichilema amekuja nchini kwa ajili ya ziara ya Kiserikali ya siku moja

Ziara hiyo inakusudia kuimarisha zaidi mahusiano mazuri yaliyopo baina ya Zambia na Tanzania katika nyanja zote ikiwa ni kwa manufaa ya watu wa nchini hizo

Chadema watanuna watasema mama amezuia Demokrasia,kwa nini Hichilema aje kumtembelea 😁😁
 
Ziara umeelezwa ya Rais wa Zambia, ziwa nyasa linaingiaje wakati ziwa Nyasa liko malawi, haikande ni mambo ya mgomo wa juzi wa madreva kuchelewa mizigo ya zambia, sana issue za kutoa mizigo yao bandarini kiurahisi na reli ya TAZARA hizo ndio issue watakazojadili na labda mikataba ya ushirikiano baina ya mataifa haya mawili.

Ni rais wa zambia sio malawi.

#MaendeleoHayanaChama
... shukran; please, ignore my post. Sikuwa makini. Najizuia ku-post chochote humu hadi kesho kama sehemu ya uwajibikaji.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpokea Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere

Rais Hichilema amekuja nchini kwa ajili ya ziara ya Kiserikali ya siku moja

Ziara hiyo inakusudia kuimarisha zaidi mahusiano mazuri yaliyopo baina ya Zambia na Tanzania katika nyanja zote ikiwa ni kwa manufaa ya watu wa nchini hizo

Mungu mbariki Hichilema , Mungu ibariki Zambia
 
  • Thanks
Reactions: MCN
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpokea Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere

Rais Hichilema amekuja nchini kwa ajili ya ziara ya Kiserikali ya siku moja

Ziara hiyo inakusudia kuimarisha zaidi mahusiano mazuri yaliyopo baina ya Zambia na Tanzania katika nyanja zote ikiwa ni kwa manufaa ya watu wa nchini hizo

Hivi kuna watu ambao kazi yao ni kutikisa mikia kukaribisha wageni? Vipi leo ni siku ya kazi wanapata muda wapi? Halafu wengi kinamama/dada!!
 
01 August 2022
Lusaka, Zambia

Press Statement On The Visit To Tanzania By Mr. Hakainde Hichilema, President Of The Republic Of Zambia​

Whilst in the neighbouring country, President Hichilema is expected to hold bilateral talks focusing on areas of mutual interest aimed at enhancing trade, investment and infrastructure development among others, as well as discussions on the revamping, capitalization and operationalization of the Tanzania Zambia Railways TAZARA.

Minister of Foreign Affairs and International Cooperation Stanely Kakubo has confirmed in a statement saying the state visit is very significant as Tanzania is a strategic partner for the country in terms of transportation in the Southern Region for freight and passengers through the Eastern African seaport of Dar-es-Salaam.

“This Visit is highly significant as Tanzania remains a strategic partner as a link for transportation in the southern region for both freight and passengers through the eastern African seaport of Dar-es-Salaam.

To this end, during the Visit, President Hichilema and President Hassan will hold bilateral talks where discussions will focus on areas of mutual interest aimed at enhancing trade, investment and infrastructure development, among others” Mr. Kakubo said.

The Tanzania-Zambia Mafuta TAZAMA Pipelines Limited, and the Nakonde-Tunduma One Stop Border Post ( OSBP ) will also be an area of discussion and focus and that the President will tour the Dar-es-Salaam Port, Dar-es-Salaam Standard Main Gauge Railway Station, TAZAMA Pipelines Limited and TAZARA.

The Minister further disclosed in the same statement that the two Presidents will also preside over the signing of Memoranda of understanding ( MOU ) in the fields of defense and tourism.

Mr. Kakubo expressed hope that President Hichilema’s visit will strengthen the ties between the two sister countries that have existed for many years for the benefit of the people of Zambia.
Source : Zambia : President Hichilema expected in Tanzania for a two day State visit

02 August 2022
Dar es Salaam, Tanzania

President Hichilema of Zambia in Tanzania for a Two Day State Visit

Source: Diamond TV Zambia
 
... hili fupa la miaka na miaka lingepata ufumbuzi ingekuwa jambo jema sana; Ziwa Nyasa (Malawi) Tanzania ina portion au haina? Ifike mahali kuwe na common understanding kati ya pande mbili zinazohusika.
Zambia inahusika vipi na issue ya ziwa nyasa?
 
... hili fupa la miaka na miaka lingepata ufumbuzi ingekuwa jambo jema sana; Ziwa Nyasa (Malawi) Tanzania ina portion au haina? Ifike mahali kuwe na common understanding kati ya pande mbili zinazohusika.
Ona huu umbumbu
 
Zambia lilikuwa kama koloni letu ila taratibu sarafu yake inakuwa imara zaidi na kufanya ushawishi wa Tz ndani ya Zambia unapungua. Marais kadhaa wa Zambia walisimikwa wakitokea Tanzania.
 
Ziara hiyo inakusudia kuimarisha zaidi mahusiano mazuri yaliyopo baina ya Zambia na Tanzania katika nyanja zote ikiwa ni kwa manufaa ya watu wa nchini hizo.
Mara nyingi madereva wetu wanakumbana na zuio mpakani, je mtakumbuka kumwambia!?
 
Bandari ya Dar es Salaam, TAZARA, Tanzania Railways Corporation SGR , Watendaji husika serikali yote, Amos Makala na Shirika la Masoko Kariakoo, naibu spika Zungu na wazee wenzie wa club ya Saigon Kariakoo n.k wanatakiwa wapitie hapa JF wapate elimu isiyofundishwa ktk vyuo vyetu.

Mfano kuvutia itumike basi nchi za Zambia, Malawi, DR Congo, Rwanda, Burundi zipewe ma-gati ya mkataba aina ya BelBases sisi tufanye miaka 99 na upanuzi wa bandari ukifanyika iwe ya DSM au Mtwara pia tuwahusishe majirani watie mkono wao ktk ujenzi wa gati exclusives na pia haki za kutumia reli na pia uwekezaji ktk njia ya reli. Sisi tutaingiza mapato meli ikiingia, pilot wa TPA atatoza ushuru, meli zitanunua, mafuta, maji na chakula cha mabaharia n.k yaani mambo ni mengi ya kuichangamsha bandari ya DSM iwe hub / kitovu cha biashara, Kariakoo itakuwa soko kuu la nchi hizo tajwa n.k sijui mungu huyu atupatie nini ikiwa kina Sultan Seyyid Said na wazungu wa Ubelgiji na Uingereza kupitia BelBases convention German East Africa lakini sisi hatukioni !

Na sisi kizazi cha dot.com intaneti ina siri zote zimewekwa, mbali ya masuala yetu ya ushabiki wa mpira, singeli, amapiano, mwanasiasa kasema nini, celebrity wa kibogo leo ana event au scandal gani, dini ipi bora n.k basi tujitanulie uwingo na kuongeza mengine mengi yawe ya social, elimu, historia, biashara n.k

100 YEARS BELBASES

A FORGOTTEN PAGE OF BELGIAN COLONIALISM IN AFRICA

Belgian bases in East Africa​

The Belgian colonial period ended with the independence of Burundi and Rwanda on July 1, 1962, but there is still a vestige of our colonial past: the Belbases in Tanzania.

In 1919, during the negotiation of the Treaty of Versailles, Great Britain was able to seize almost all the German colonies in East Africa. Rwanda and Burundi became Belgian mandate areas.

But Belgium, which had also participated in the war effort in East Africa, was not satisfied, protesting strongly. She received in 1921 from the British a commercial gesture as a consolation, the so-called Belbases (from "Belgian Bases"), sites in two ports of Tanganyika: Kigoma on Lake Tanganyika, and Dar es Salaam on the Indian Ocean , with free transit on the railway between these two ports.

This agreement was signed 100 years ago, on March 15, 1921.

Belgium leased the concession for a symbolic franc per year, where it could build docks and warehouses, initially in perpetuity, from 1956. for 99 years.
Goods to and from the Belgian colonies in Central Africa could pass tax-free via the railway. The Belgian government entrusted the operation to a private company, the Belgian East African Agency, which later became the International Maritime Agency (AMI).
In 1956, the Belbases were transferred to the colonial government, which now funded the infrastructure. After the independence of Congo, Burundi and Rwanda, the Belbases became the joint property of the former colonies.

The transit zone gradually lost its economic importance and, certainly after the riots of 1991 (Congo) and 1994 (Rwanda), traffic from Central Africa stopped. Between 1994 and 1995 the AMI began discussions on an "honorable end" to the management agreement, in 1996 Tanzania took over the sites.

Even if they have not been used for 25 years, in theory these Belbases still exist, because the four countries (Tanzania, Burundi, Congo and Rwanda) have not yet been able to agree on compensation for the takeover of the installations.

March 15, 1921​

On March 15, 1921, the Belgian and British governments signed a convention concerning " the free passage of persons, mail, goods, ships, vehicles and wagons from or to the Belgian Congo ", including the protectorate of the Rwanda - Urundi.

The last Belgian manager​

From January 1992 to December 1995, Guido Fallentheyn was the last Belgian manager of the Belbases in East Africa.

Source : Belbases - Une page oubliée du colonialisme Belge en Afrique
 
Comments from Zambian citizen:
Dear Mr President Hakainde Hichilema , negotiate with President Samia Sululu Hassan to open ZRA customs and RTSA offices at Dar es Salaam port so that all motor vehicles are taxed and registered before they enter Zambia. If need be, Zambia should like Congo, join the East African Community. Source : Zambia : President Hichilema arrives in Tanzania
 
Comments from Zambian citizen:
Zambia needs TAZARA more the Tanzania I dont know why we bother them with it just go all in …Zambia should also be pulling fiberoptic cables from TZ to reduce cost of broadband and business in country.
Source : Zambia : President Hichilema arrives in Tanzania
 
2022-08-02​

Dar es Salaam, Tanzania

Tanzanian, Zambian leaders agree to revive TAZARA railway​

DAR ES SALAAM, Aug. 2 (Xinhua) -- Tanzania and Zambia on Tuesday agreed to mobilize resources to revive the TAZARA railway to make it modern and vibrant.

Tanzanian President Samia Suluhu Hassan said the agreement to revive TAZARA was reached when she held talks with visiting Zambian President Hakainde Hichilema at State House in the commercial capital Dar es Salaam.

TAZARA was constructed as a turnkey project between 1970 and 1975 through an interest-free loan from China, with commercial operations starting in July 1976, covering 1,860 kilometers from Dar es Salaam in Tanzania to New Kapiri Mposhi in Zambia.

President Hassan added that the two leaders have also agreed to work closely in promoting trade and investment through the revival and renovation of key joint post-independence infrastructure projects that were built to link the two nations, including the Tanzania-Zambia Crude Oil Pipeline (TAZAMA).

"Tanzania and Zambia are long-time friends. We have agreed to further promote these relations which now should be translated into economic and trade relations to improve the lives of our people," said President Hassan.

For his part, Zambian President Hichilema said the relations between Tanzania and Zambia were a heritage inherited from founding fathers Julius Nyerere and Kenneth Kaunda who understood the importance of connecting the two nations.

"We need to work together because our relationship and co-existence is historical, we were together in the struggle for independence, since then we have worked together and our people have been one," he said

Source: Xinhua
 
Back
Top Bottom