Rais Samia ampokea Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema aliyekuja kwa ziara ya siku moja

Rais Samia ampokea Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema aliyekuja kwa ziara ya siku moja

Ziara umeelezwa ya Rais wa Zambia, ziwa nyasa linaingiaje wakati ziwa Nyasa liko malawi, haikande ni mambo ya mgomo wa juzi wa madreva kuchelewa mizigo ya zambia, sana issue za kutoa mizigo yao bandarini kiurahisi na reli ya TAZARA hizo ndio issue watakazojadili na labda mikataba ya ushirikiano baina ya mataifa haya mawili.
Umeona mkuu ni jinsi gani tulivyo mazuzu?,mwana JF haelewi ziwa nyasa lipo wapi, hailewi Zambia 🇿🇲 na 🇲🇼 ni nchi mbili tofauti!
 
Uzi umepooza, inawezekana kwa vile Mh. Rais Hichilema Hakainde ni mfano wa mageuzi ya kweli na wale wenzetu wa mtaa ule wanataka amalize ziara hii haraka sije akasababisha waTanzania kuamua kuchagua serikali nyingine zaidi ya hii.

Ni hayo tu, nawasilisha au nasema uongo ndugu zangu wa JF.
 
Diplomasia ya uchumi na sera ya kufungua nchi haitakiwi kuwa na uoga kwa vile nchi jirani wameamua kubadilisha wale waliokuwa chama tawala.

Tanzania tuangalie fursa kwanza haya ya kubadilisha utawala yaliyofanywa na wananchi wa nchi jirani isififishe sera nzuri ya diplomasia ya uchumi na 'kufunguana nchi'.

TOKA MAKTABA:

Kuna mambo yanashangaza sana ! Rais Mstaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete , ambaye alikuwa miongoni mwa wasimamizi wa uchaguzi Mkuu nchini Zambia , ameonekana hadharani akiwa na Mahasimu wakuu wa siasa za Zambia baada ya kikao cha upatanishi , Tunamshukuru kwa jambo hilo



16 August 2021

EXCLUSIVE VIDEO :

Jakaya Kikwete kiongozi wa ujumbe Waangalizi wa Uchaguzi kutoka Jumuiya ya Madola akishuhudia hatua za dhati kuelekea "maridhiano na Umoja wa Kitaifa" Zambia


Official Hakainde Hichilema Meets Edgar Lungu At Rupiah Banda's House

President – Elect HH And President Lungu Hold Cordial Meeting at Former President Rupiah Banda’s house today​

August 16, 2021

We held a cordial meeting with President Edgar Chagwa Lungu, Fourth President, Rupiah Bwezani Banda, AU Chief election Observer, Former Sierra Leone President Ernest Bai Koroma and Commonwealth Chief observer, Former Tanzanian President Jakaya Kikwete.
The meeting centered around the betterment of our country and its future.

We remain committed to ensuring a united and developed Zambia for all.
We will endeavour to work round the clock and indeed ensure a country everyone can call home because what divides us is smaller than our Country’s aspirations.
I Thank Your Excellencies President Lungu, President Banda, President Kikwete and President Koroma for showing that Africa is indeed blessed.
May God Bless our Country

Source : President - Elect HH And President Lungu Hold Cordial Meeting at Former President Rupiah Banda's house today
 
Back
Top Bottom