Vyeo vya kijinga, ni sawa na kumpongeza mtoto wako kuwa dada mkuu huko shuleni. Kwa Tulia wangalau ni cheo Cha maana, kwani ndio cheo Pekee anachoweza kushinda bila wizi ama mbeleko ya vyombo vya Dola.Rais Samia Suluhu amempongeza Spika wa Bunge letu, Dk Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
“Pongezi za dhati kwa Spika wa Bunge letu, Dk Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Ushindi huu ni ushuhuda wa kazi kubwa unayoendelea kuifanya na imani wajumbe waliyo nayo juu yako na nchi yetu.
Kuchaguliwa kwako pia ni matokeo ya miaka mingi ya kazi, weledi na kujituma katika utumishi wa umma, mfano bora kwa watoto wa kike katika nchi yetu, Afrika na hata nje ya mipaka ya bara letu,” ameandika Rais Samia.
View attachment 2794794
Umri unaruhusu, tunamtakia kila la heri, lkn kwa Tz hajamfikia Bi Anne Makinda, Job Ndugae na Samwel Sitta.Si muda mtasikia kawa naibu katibu mkuu wa UN
Hongera zake sana Tulia.Rais Samia Suluhu amempongeza Spika wa Bunge letu, Dk Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
“Pongezi za dhati kwa Spika wa Bunge letu, Dk Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Ushindi huu ni ushuhuda wa kazi kubwa unayoendelea kuifanya na imani wajumbe waliyo nayo juu yako na nchi yetu.
Kuchaguliwa kwako pia ni matokeo ya miaka mingi ya kazi, weledi na kujituma katika utumishi wa umma, mfano bora kwa watoto wa kike katika nchi yetu, Afrika na hata nje ya mipaka ya bara letu,” ameandika Rais Samia.
View attachment 2794794
Watu serious hawagombei vyeo vya aina hiyo. Kwa watu wenye uhaba wa kushinda kwa kura halali, huo ni bonge ya ushindi, na bonge la cheo! Lakini kwa sisi wengine hicho cheo hakina tofauti na cheo Cha dada mkuu huko primary school.Hongera zake sana Tulia.
Ntamani nimuone na mtandio kichwani, atapendeza sana.