Rais Samia ampongeza Donald Trump. Aahidi kushirikiana naye

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Amemmiminia na kupongeza Rais mteule wa Marekani Mheshimiwa Donald Trump. ambaye ni Rais aliyeweka rekodi ya kipekee ya kurejea kwenye kiti cha Urais kwa awamu ya pili katika miaka tofauti tofauti tangia ilipotokea hivyo miaka ya 1800.

Ambapo Rais wetu Mpendwa Ameahidi kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Marekani.

Ikumbukwe ya kuwa tumekuwa na ushirikiano wa muda mrefu sana na wenye matokeo Chanya sana na sasa sisi na Marekani ni kama ndugu. Salamu hizo za pongezi za Rais wetu Mpendwa zilikuwa zinasubiriwa kwa hamu kubwa sana na mamilioni ya watanzania.

hasa kwa kutambua ukweli kuwa Rais wetu Mpendwa ndiye kioo cha Bara zima la Afrika na ambaye amekuwa kama ndiye Nembo ya Afrika.wazungu wote wanamtizama Mama kwa jicho la kipekee .kwa kumuona ni kiongozi mwenye akili kubwa ,upeo mpana ,uelewa na ufahamu wa masuala mbalimbali na kiongozi mwenye ushawishi mkubwa sana Barani Afrika.


Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
 
Ni vyema aakaanza na kauli zake za hivi karibuni baada ya kifo cha yule kada wa chadema
 
Congratulations President-elect Donald Trump..!! Our President Mama Samia and all Tanzanians love you so much, Trump Karibu sana Tanzania 💚💛✅🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇹🇿🇹🇿🇹🇿💚💛✅🙏🙏👏👏🤲🤲
 
Utashangaa CHADEMA wananuna maana huwa hawajitambui na hawaelewi wanataka nini hapa Duniani.
 
CHADEMA kwa sasa wamejaa msongo wa Mawazo
uko sahihi sana comrade,
maana ukurupukaji wao wenye mihemko ni kama umeongezeka saivi..

hadi unashangaa eti Rais Dr.Samia Suluhu Hassan anampngeza mshindi wa urasi marikani kwa niaba ya waTanzania, eti mtu anakurupuka na anakasirika kabisa dah!
 
Zanzibar na Tanzania ziko moyoni kwa Trump. Siku mbili zilizopita alimwomba
Mama Samia kuwa baada yeye kushinda uchaguzi awapokee na kuwaliwaza kwenye mapumuziko katika white sands za beach za Zanzibar akina Joe Biden na Harris Kamala.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…