Rais Samia ampongeza Donald Trump. Aahidi kushirikiana naye

Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Amemmiminia na kupongeza Rais mteule wa Marekani Mheshimiwa Donald Trump. ambaye ni Rais aliyeweka rekodi ya kipekee ya kurejea kwenye kiti cha Urais kwa awamu ya pili katika miaka tofauti tofauti tangia ilipotokea hivyo miaka ya 1800.

Ambapo Rais wetu Mpendwa Ameahidi kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Marekani.

Ikumbukwe ya kuwa tumekuwa na ushirikiano wa muda mrefu sana na wenye matokeo Chanya sana na sasa sisi na Marekani ni kama ndugu. Salamu hizo za pongezi za Rais wetu Mpendwa zilikuwa zinasubiriwa kwa hamu kubwa sana na mamilioni ya watanzania.

hasa kwa kutambua ukweli kuwa Rais wetu Mpendwa ndiye kioo cha Bara zima la Afrika na ambaye amekuwa kama ndiye Nembo ya Afrika.wazungu wote wanamtizama Mama kwa jicho la kipekee .kwa kumuona ni kiongozi mwenye akili kubwa ,upeo mpana ,uelewa na ufahamu wa masuala mbalimbali na kiongozi mwenye ushawishi mkubwa sana Barani Afrika.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
Angesisitiza kusimamia uchaguzi wa huru na haki wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025 na kuweka demokrasia ya uchukuaji fomu za ugombea Urais ndani ya CCM 2025
 
Shahawa zilizokuzaa heri zingemwagwa chooni tu
 
Ishii!
 
Angesisitiza kusimamia uchaguzi wa huru na haki wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025 na kuweka demokrasia ya uchukuaji fomu za ugombea Urais ndani ya CCM 2025
Uchaguzi utakuwa wa huru na haki kabisa.
 
Back
Top Bottom