Rais Samia ampongeza Donald Trump. Aahidi kushirikiana naye

waliomwandikia wamemwambia kesho wanavodai demaocrasia inabinywa Tz msizibue kelele zenu.....mwambie mama pompeo alie-ban makonda alikuwa katibu wa ikulu enzi za trump
 
Chawa mlikua mshaandaa picha kibao za kamala na smaia,mapambio ya kutosha mara paap mambo si mambo mpo hooooiiii
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Amemmiminia na kupongeza Rais mteule wa Marekani Mheshimiwa Donald Trump. ambaye ni Rais aliyeweka rekodi ya kipekee ya kurejea kwenye kiti cha Urais kwa awamu ya pili katika miaka tofauti tofauti tangia ilipotokea hivyo miaka ya 1800.

Ambapo Rais wetu Mpendwa Ameahidi kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Marekani.

Ikumbukwe ya kuwa tumekuwa na ushirikiano wa muda mrefu sana na wenye matokeo Chanya sana na sasa sisi na Marekani ni kama ndugu. Salamu hizo za pongezi za Rais wetu Mpendwa zilikuwa zinasubiriwa kwa hamu kubwa sana na mamilioni ya watanzania.

hasa kwa kutambua ukweli kuwa Rais wetu Mpendwa ndiye kioo cha Bara zima la Afrika na ambaye amekuwa kama ndiye Nembo ya Afrika.wazungu wote wanamtizama Mama kwa jicho la kipekee .kwa kumuona ni kiongozi mwenye akili kubwa ,upeo mpana ,uelewa na ufahamu wa masuala mbalimbali na kiongozi mwenye ushawishi mkubwa sana Barani Afrika.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
Wajipange tu kisaikolojia huu mwamba haunaga mpango na Africa sembuse Tanzania wenzao ulaya walishaanza kudorogana
 
A tadpole of the deaf mother-frog at your best.
 
Ajiandae kumpongeza Lissu 2025
 
Back
Top Bottom