Rais Samia amru bendera ipepee nusu mlingoti tuomboleze kitaifa

Rais Samia amru bendera ipepee nusu mlingoti tuomboleze kitaifa

We utaacha mtoto wako shimoni usafiri uache maelekezo tu
it will depend on the situations and I cannot ask the president to come and salvage personally.
There are thousands of earthquakes, wars etc in the world and have you seen a president personally helping in those sites?
I have written very clearly in my view being logic!
 
Hujui English
 
Najua upo Brazil kwenye majukumu yako
Japo viongozi wengine wa nchi zingine wakitaka kukupa salamu za pole inakuwa ngumu maana haupo nchini.
Ingekuwa busara zaidi usingesafiri ukabaki hapa tufatilie Kwa pamoja ajali hii, ila naheshimu mawazo yako

Watu na majeruhi ni wengi, mh Rais wetu amru bendera ipepee nusu mlingoti tuomboleze kitaifa

Wakati huo amru njia na mbinu Bora zaidi za uokoaji
akili hiyo anayo? we mtu uliona wapi nchini kuna majanga wewe unapuyanga kwenye nchi za watu wala haya huna. Bongo bahati mbaya sana.
 
Back
Top Bottom