Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Mama nae asifate ya mitandaoni ajaribu kutumia vyanzo vyake vingine vya habari na vya kuaminika(aache kudemka na mitandao)
 
Ni Jambo zuri Sana mama anafanya, kiongozi ni kusikiliza...
 
Mama tunazidi kukuelewa ,hii ni zawadi ya IDD kwa wana Hai, na katika tuhuma zinazomkabili msisahau ulevi wa pombe wa kupindukia alionao
 
Aende akachunge ng'ombe za familia. Wakati wa kutawaliwa au wa kuwa na viongozi wendawazimu, nadhani ufikie tamati sasa!
Wakati ana chunga mifugo rungu itumike kuchambia
Tuna hitaji kusikia yuko Kisongo ana rusha ndege.
 
Na umegundua kuwa hata mama wa afya kaacha ukomedi?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wewe umezaliwa tz hii, why wajitoa ufaham,KWA nini asemwe Sabaya au mwingine na sio watu Kama MTAKA, mtafutwa Sana tu hakuna namna alihali jamii uliyotumwa kuifanyia kazi mkageuka laana kwao

 
Sabaya na Bashite walikua maraika watesaji na watoa roho wa mtukufu Magufuli .
Mambo tuliopitia watanzania , hatutawasamehe CCM.
 
Hahahaha hahahaha, subiri mama awatie kidole cha jicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…