Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Kuna Mtu pilau kesho hailiki, Mungu huyu! Kesho Takukuru na Polisi ndio wageni Waalikwa
 
kuna dokta wa vichaa siku moja aliletewa kichaa alieshindikana ili amtibu...daktari alifanikiwa kumtibu kichaa akapona ila ajabu yeye dokta ndo akawa chizi
Unamaanisha nini katika mustakabali wa mkuu wa Wilaya na rais?
 
Bwana mdogo Sabaya Hakujifunza kwa pacha mwenzake Paul Makonda Baada ya kutumbuliwa kwake namna gani jamii ilimpokea.
Nilishangaa sana Juzi alipokuwa akihojiwa kwenye tawi la ccm ( clouds media) alikuwa anaongea mpaka anawapindukia watangazaji kama yuko sitting room alitamba zaid kiasi cha kum stopisha Kija kuwa asiwe na haraka yaani alikuwa na confidence ya hovyo sana.
Na ili nililitegemea maana malalamiko yalikuwa mengi mno juu yake.
Swala la kupisha uchunguzi dhidi yake ni kumtafutia sababu ya kumbananisha kwenye kona.


Mungu ni mwema siku zote.
 
Haya.
Ndo maana nimewaambia bakisheni akiba ya maneno..
Kusimamishwa.
Kutenguliwa haya NI MANENO mawili tofauti.
Muwe mnaelewa.
Hahahaha amesimamishwa? Ili afanyeje? Aimbe mapambio? Usitufanye Wajinga, hakuna DC aliyewahi kusimamishwa kupisha uchunguzi kwa aibu kama huyu
 
Tenaa aendelee hivi hivi...unataka msikilize na nani na sisi ndo serikali....mama chomeka hapo hapo usiachie🤣🤣
 
Saa hizi unampigia Sabaya unamuuliza kuhusu mwaliko wa kesho pilau itakuaje hahaaahaaha dah! Kesho TAKUKURU NA POLISI ndio wageni wake
 
Haya.
Ndo maana nimewaambia bakisheni akiba ya maneno..
Kusimamishwa.
Kutenguliwa haya NI MANENO mawili tofauti.
Muwe mnaelewa.
Wewe sio wa kutufundisha! Maisha ni haya haya! Tulia, anachunguzwa sio ametengukiwa tu, usitufanye wakinga!
 
What a beautiful news!!!!
Mungu anaendelea kusafisha SUKUMA GANG
Ongezea na alikuwa CHAWA aliyevuka damu ya Kunguni kwa mwendazake yaani ni Mmasai asiyefaa kabisa akahamia kabila la SUKUMA GANG tena akasafishe makaburi huko Chattle
 
Kuna jamaa mmoja anadai walimlawiti na kisha kumvunja miguu.
Alimkata kijana wa watu masikio ,akaulizwa hiyo swali Clouds hajaikanusha kajibu indirect ila ilionyesha ni kweli ,alikuwa na kiburi sana ,inshort jamaa hafai kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…