Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Bilashaka we ndo Saa baya mwenyewe, manina, sasaiv ulinzi huna,subiri wale uliowapora Mali zao wakuTIGO
 
Alimkata kijana wa watu masikio ,akaulizwa hiyo swali Clouds hajaikanusha kajibu indirect ila ilionyesha ni kweli ,alikuwa na kiburi sana ,inshort jamaa hafai kabisa
 
Kuna majitu huku yanafurahia kutumbuliwa kwa huyu jamaa lakini ukiwauliza kawakosea nini, hawana cha kujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…