Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kumbe ana kesi tena ya jinai?? HahahahahaHalafu huyu dogo mwambieni ajiandae ile Kesi yake ya jinai ya kufoji kitambulisho cha tiss na kutapelia kwenye mahoteli inaenda kufufuliwa upya. Kwani aliyemtetea ames
hakwendazake motoni.
Haiwezekani hata kidogo.Usije ukashangaa akapangua.na kuendelea na KAZI.
Sijui mkuu. Nasubiri Mechi ya Yanga na Simba.But why?... kuna nini kinaendelea?
Haiwezekani hata kidogo.
Hana cha kupangua mkuu!! Yule Bwana alikuwa jambazi kweli kweli.
Na kila mtu pale Hai anamjua. Hata umuulize mtoto mdogo anajua uovu wake.
Hahahaaaa....... Nipo bwashee!
Sijui alikua anajiamini niniNdio huyo, Mama alishasema atafyeka wapandisha mabega yeye hakusikia
Nyie Rais wenu kashapotea mavumbini,,k.enge nyinyiNaona Mama anaendelea kuwapa watu cheo zaidi ya kimoja. kwa hili anafeli sana
Kwa hiyo, wataenda tena utumwani walikokombolewa?Kama ameshamtoa dikteta Mbowe haina shida.
Watu wa Hai hawatarudi tena kanani
Hapana halali mkuuHahahaha mcheps