Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

mnaunga mkono kwenye kumtumbua sabaya[emoji23][emoji23]

mnajua nani anakwenda kukaa hapo!!!ana sifa zipi tofauti na hizo??

watusi wanasema"usishangilie mapema"ndio sababu hata lissu anajaribu kuwashtua mara kwa mara,lakini siiui mnamwonaje siku hizi!!!
 
Akina mbow wanahistoria ya kuendesha mambo na siasa zao kibabe na kihuni. Akitokea mhun na mbabe mwenzao wanapata wepesi wa kulialia
Tulisikia uyo Saa Bayaa alikuwa anakula mpaka michicha miba, nawewe nahisi miongoni mwa hao waliokuwa wanapulizwa na SAA BAYAA
 
Eid anailia wapi huyu Mtoa chozi jicho Moko.
Kwamba Mwezi huu Hapokei Mshahara?
Teuzi ná Ajira vitu viwili Tofauti.
Mnajisahaugi sana .
Takukuru na TISS kafanyeni nae kazi.
Kisha Mahakama na Tumuone akitumikia kifungo Jela.
Kasimamishwa zaidi ya tarehe 10 ya mwezi, full mshahara kwa mwezi huu anao.

Ila kuanzia mwezi ujao ni nusu kibaba na posho za utendaji hazitakuwepo hadi atakapomaliza msala.

Hapo kuna mawili, wakimsafisha ile mishahara nusu itakayokuwa ikikatwa atarejeshewa.

Akipatikana na hatia na kufukuzwa, ndiyo itakuwa imetoka mazima.
 
Asante sana
 
Umemaliza yote! Mama Mungu akulinde kukupa miaka tele.....mitano tena kwa SSH
 
Ngoja uchunguzi uanze,wako mashahidi wengi ambao wamemrekodi kwwnye cctv akivamia Nyumba za watu ma kuomna Rushwa kwa nguvu.
kwani takukuru wanasemaje baada ya uchunguzi wa mkurugenzi bandari??
huko sabaya atachunguzwa na chadema au polisi,takukuru,nk??
watamsaliti waliyekuwa wanafanya naye kazi??

acheni mihemko jamani,mnaipa urahisi ccm kuwatawala zaidi.
 
Kuna pangapangua ya wakuu wa mikoa na maDC , iyo nafasi ya uyo jambazi shoga inajazwa na mtu mwingine
 
Eid anailia wapi huyu Mtoa chozi jicho Moko.
Kwamba Mwezi huu Hapokei Mshahara?
Teuzi ná Ajira vitu viwili Tofauti.
Mnajisahaugi sana .
Takukuru na TISS kafanyeni nae kazi.
Kisha Mahakama na Tumuone akitumikia kifungo Jela.
Amesimamishwa nusu mshahara unamuhusu ndugu. Hajatenguliwa
 
You are the only one saying so and seeking for everyone's approval, let's see who agrees....
Am not seeking everyone's approval honey. Stop exaggerating.

I love dark complexion and seemingly some other women do too.

I know some women absolutely love light skinned men and that's very natural.

We were all created differently and we have different tastes in out partners.
 
Tulisikia uyo Saa Bayaa alikuwa anakula mpaka michicha miba, nawewe nahisi miongoni mwa hao waliokuwa wanapulizwa na SAA BAYAA
Nnachosema ukiwa mhuni ukihuniwa sio unatulilia na kutulegezea sauti hapa.

Kuna watu wako kama wana haki ya kufanya mambo ya ovyo.

Ya ovyo yaitwe ya ovyo. Ya sawa yaitwe ya sawa. Isijalishe yamefanywa na nani. Kama imekukera naomba jinyonge tu
 
Tusubiri taarifa za uchunguzi na kama ana hatia tuone ni hatua zipi atachukuliwa. Hii bongo acha kabisa ipo siku morrison atarudi yanga na ataupanda mpira juu na maisha yatasonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…