Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Inawezekana baadhi kweli ila si yote kuna mda Binadamu sababu ya chuki kua nyingi tunaongeza chumvi
Kama huwezi kuonesha moja kati ya haya ambalo si la kweli, basi huna uhalali wa kusema muhusika anasingiziwa.
 
Picha la kutisha kwa kweli. Hakika haya ni madaraka ya kulevya
 
Inawezekana baadhi kweli ila si yote kuna mda Binadamu sababu ya chuki kua nyingi tunaongeza chumvi
Hata kama yote sio kweli, hapo hapo utakapopiga mstari kwenye stori hii kuwa ukweli unaanzia hapa, bado ni pabaya vya kutosha!
 
Kanye ulake nyoko weee. Sisi tuko kimaslahi ya nchi siyo ya wachache Munguwatu mliojiumbia. Katage maana MATAGA wenzako wameshataga mpaka rangi zimeisha. CCM ndiyo sisi na mtatutambua. Mlidharau wahalidi wa CCM mkaunda yenu ya kutesa. Kaeni pembeni tumerudi.
 
Kuna msemo unasema ukiona adui anakusifia ujue kuna mahali umekosea...
Kwa hiyo mkuu wewe ulitaka mtu kama Sabaya mwenye tuhuma lukuki za kuumiza watu aendelee kuwa mkuu wa wilaya...au sio!!
 
Kwamba huyo mwendazake alipokea nchi kutoka chama kingine? Huyo alikuwa dikteta na vidikiteta uchwara vikaanza kuibuka Sasa vinafyekwa kimoja baada ya kingine.
Mwendazake alijua hata kufa na aliko huko mnadhani atarudi, na harudi kamwe vumilieni mama anapenda sana haki watu Kama wewe hamna nafasi Kama huamini muuliza sabaya
 
sisi tunatumia msemo wa nyerere"ukiona mpinzani wako anakupigia makofi kaa chini utafakari kuna sehemu umeteleza"

sijajia lissu ana mpango wa kurudi badi au bado hana uhakika na usalama wake??
Hahaha.. Si ndio maana nasema siku hizi Mataga mmekuwa wapinzani wa serikali ya CCM!!

Ona sasa na wewe umeshajisahau umeanza tena kuipinga serikali ya CCM kwenye hii comment yako.
 
Hahaha.. Si ndio maana nasema siku hizi Mataga mmekuwa wapinzani wa serikali ya CCM!!

Ona sasa na wewe umeshajisahau umeanza tena kuipinga serikali ya CCM kwenye hii comment yako.
wapi hapo nimeipinga ccm!!!

nina imani swaumu zimeisha,utakiwa na tatizo jingine binafsi.
 
huko aliko hawezi kuridi anatusubiri mimi nawewe maana tunahusika na kifo pia.

hoka yako ni ipi??
 
wapi hapo nimeipinga ccm!!!

nina imani swaumu zimeisha,utakiwa na tatizo jingine binafsi.
"ukiona mpinzani wako anakupigia makofi kaa chini utafakari kuna sehemu umeteleza"

Kwenye Hayo maneno hapo umefanyaje?

Unachosema hapo ni kwamba Serikali IMETELEZA kwa kufanya maamuzi yanayopigiwa makofi na wapinzani.

Maana yake HUKUBALIANI na UNAPINGA maamuzi haya ya Serikali ya CCM yanayowafurahisha wapinzani.

Au Mataga unaona kuwa hapo Umesifia na kusapoti maamuzi ya serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…