Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

maslahi ya nchi unawaza kunya [emoji23][emoji23].
 
kwahiyo kwa kauli hiyo tayari nimekuwa mpinzani wa serikali ya ccm!!!
 
Nilidhani Chadema wangesikitika kwa sababu Ole sabaya anatoka jimbo moja na mwenyekiti wao Freeman lakini badala yake Sukuma gang kutoka kanda pendwa ndio wamehuzunika.

Kwanini Chadema wana furaha?!!

Eid Mubarak!
 
crazy !! nisikie mbwa wanataja legacy. Hivi uovu wote ulivumiliwa?
 
Hivi huwa inawezekana vipi mods wanaacha nyuzi kama hizi?Hawajui kuwa kuna nyuzi-uchafu?Huwa kuna nyuzi za hovyo za aina mbili ambazo ni nyuzi mbaya mfano nyuzi zinazochochea udini na pia huwa kuna nyuzi-uchafu.Nyuzi kama hizi zinaangukia kwenye kundi la nyuzi-uchafu.
 
Tanzania nzima wamefurahia. Watanzania hatupendi dhulma Wala kuona watanzania wenzetu wakifanyiwa dhulma..

Unapopata madaraka ishi na watu vizuri
 
Sikutarajia mleta mada ulete jukwaani lugha za kutugawa watanzania kwa ukabila wetu! Tutafanyaje, maana "mmefunguliwa"!
 
Nilidhani Chadema wangesikitika kwa sababu Ole sabaya anatoka jimbo moja na mwenyekiti wao Freeman lakini badala yake Sukuma gang kutoka kanda pendwa ndio wamehuzunika.

Kwanini Chadema wana furaha?!!

Eid Mubarak!
sorry ole sabaya atokei hai. asili yake si hai. check your facts
 
Nilidhani Chadema wangesikitika kwa sababu Ole sabaya anatoka jimbo moja na mwenyekiti wao Freeman lakini badala yake Sukuma gang kutoka kanda pendwa ndio wamehuzunika.

Kwanini Chadema wana furaha?!!

Eid Mubarak!
Acha uchonganishi, hakuna kitu kinaitwa Sukuma Gang.
Mwendazake mwenyewe ni jirani tu na wasukuma sina uhakika kama ni msukuma.
 
Pole Sana sabaya
Pole Sana dpp maganga

Mama Samia:"nitaweza kuwateua wapinzani kwenye wadhifa

Fukuza vuruta mwenda zake na legacy yake[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Joh kunywa maji si kwa hasira hzo mama Sasha noma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…