Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Walio nuna na wanao shangilia wote inawasaidia Nini?,pia kwa wote wanao furai wengi wao ni wale wasio penda maendeleo ya watu
 
Sio chadema
Watanzania wamefurahi
Hatutaku propaganda kwenye hili swala
 
Podcast yake inapatikana wapi?..spotify au wapi?
 
Napenda kujua wakati anafanyiwa uchunguzi anaendelea kuwa mtaani ama kuna sehemu anapumzishwa shwetani huyu. Huyu anafaa apigwe risasi ama itumike rocket range awekwe peupe mita 100 atunguliwe na TV ya taifa ionyeshe kifo chake kiwe hadharani.
 
Nilidhani Chadema wangesikitika kwa sababu Ole sabaya anatoka jimbo moja na mwenyekiti wao Freeman lakini badala yake Sukuma gang kutoka kanda pendwa ndio wamehuzunika.

Kwanini Chadema wana furaha?!!

Eid Mubarak!
Nchi inaendelea kuwa nzuri bado akina Ole Ndugai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…