Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Nilidhani Chadema wangesikitika kwa sababu Ole sabaya anatoka jimbo moja na mwenyekiti wao Freeman lakini badala yake Sukuma gang kutoka kanda pendwa ndio wamehuzunika.

Kwanini Chadema wana furaha?!!

Eid Mubarak!

Mkaidi hafaidi Mpaka Siku ya Eid................SaaMbovu kafaidi siku ya Eid......Huyo Jambazi amechangia sana kushusha uchumi wa Hai.
 
Nilidhani Chadema wangesikitika kwa sababu Ole sabaya anatoka jimbo moja na mwenyekiti wao Freeman lakini badala yake Sukuma gang kutoka kanda pendwa ndio wamehuzunika.

Kwanini Chadema wana furaha?!!

Eid Mubarak!
Sukuma Gang ndio nini? Kwa busara ninayoamini unayo unaweza kutoa komenti ya kipumbavu kama hii?
 
Nilidhani Chadema wangesikitika kwa sababu Ole sabaya anatoka jimbo moja na mwenyekiti wao Freeman lakini badala yake Sukuma gang kutoka kanda pendwa ndio wamehuzunika.

Kwanini Chadema wana furaha?!!

Eid Mubarak!
Kyela - Jana hiyo

Your browser is not able to display this video.
 
Mungu wangu!! Nimelia sana kwakweli, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Naomba ile picha ya kulia chozi jicho moja iende sambamba na huu uzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…