Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Sisi huku iringa Happi alitaka kuleta za sabaya tulimbeba usiku tukaenda kumlaza makaburini.toka siku hiyo anasalmia mpaka watoto
Tehe tehee! walimkomesha kihele hele chote kwishaaa bado RC wa Mbeya hovyo sana lile jamaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Tanzania kama huna PHD ya kupika MAJUNGU na FITINA huwezi KUDUMU kazini au kwenye siasa.
 
Haya mambo hayakuwepo kabisa kwenye Tanzania yetu, tulikuwa tunayasikia kenya , uganda , afrika kusini nk

Mama ameturudisha kwenye mstari wetu , Asante Mama
 
Ni muujiza kuweza kuelewana na yule Mungu mtu. Kwa imani ya mama na ubinadamu asingeweza kukubaliana na udhalimu. Ndiyo maana kulikuwa na three attempts. Niishie hapa
Eti ubinadamu, kweli unajielewa wewe..............umedokeza kulikuwa na three attempts (this is a serious clue to be pursued now and revealed for the cause of action.

Ndio maana tunasema karma hits on both sides at calculable timing which will reciprocate accordingly.
 
Kwa tuhuma hizi Ole Sabaya hachomoki na kurudi kwenye nyadhifa ya awali au majukumu mapya. Kwa namna mheshimiwa rais Samia Suluhu anavyopenda haki.

Hiyo kamati ya kumchunguza ikienda kinyume na kuonekana hana hatia, wajiandae kupisha wengine wawasaidie maana itakuwa wameshindwa kazi
 
Kubalance story, wasikilizwe na uliowataja isijekuwa unachuki tu na sabaya ndio maana umeandika yote haya.
 
JAMBAKA SABAYA...

Nachoamini usalama wake ni kuwa jela. Uraiani hatabaki salama kwa aliyoyatenda.

Kila nikiwaza Arusha ndo kumejaa mabastola baasi nasema hiiii[emoji23]
Huyu sabaya Ni mshenzi sana tulikuaga nae Kwenye Pub moja Blue house fire daraja mbili alikuwa akija usku sana na mabausa kwa ubabe mwingi mziki unazimwa kisha anatajwa na Dj kama Pedeshee mkuu wa Wilaya Ya Hai Ole Sabaya, kisha anachukuwa Mike anatuimbia nyimbo za Ken Rodgers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…