Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Nyie misukule ya dikteta magufuli msimpangie Rais chakufanya, Rais wenu kashaozea chini ya udongo uko
 
Kwa haya mnayofanya mkifikiri mnamsaidia, ndo mnazidi kuharibu kabisa. Hivi huwezi kutumia hata akili kidogo tu kujiuliza kwa nini iwe yeye tu? Wakuu wa Wilaya wako wangapi nchi hii? Kwanini ashutumiwe yeye tu?
 
Tanzania kuna watu wawili usiwaguse kwa ubaya. Kama utawaonea jua utapotea na utachukiwa na kila mtu ukigombana na hao watu hata kama wao hawatakujibu ila wana nguvu ya asili ya kushinda vita (psychic ability to win every obstacles) na watu hao ni Askofu Gwajima na Freeman Aikaeli Mbowe.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Inaonyesha hujui jinsi nchi ilivyoharibiwa kisiasa wala hujui kuwa hata sisi ccm tulikuwa tumeanza kuona aibu kwa jinsi uharamia ulivyokuwa ukitumika eti kwa maslai ya Chama.Msingi mkubwa wa chama chetu ni utu wa mwafrika na heshima yake sio uhuni.Mwacheni mama afanye kazi
 
GWAJIMA wa Kipindi flani au uyu wa Sasa anaepotosha chanjo ya corona?
 
Mtaongea lugha zote mbugila nyie
Hebu mwacheni mama afanye kazi
Yake
Unafikiri huyo saambaya katolewa
Huko hai kwa sababu ya mambo ya cdm

Ova
 
Makamanda peoples!

Hawa watu waliusumbua sana uongozi wa kaka Freeman Mbowe kule hai Kilimanjaro, hawakuijua nguvu ya Kaka Mbowe hapa nchini sasa watajifunza namna ya kudeal na kiongozi wetu.

Never Again
Never Again......!!!!
 
Huyu hamtetei bali anataka kuzidi kumharibia.

Amandla....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…