Rais Samia Amtembelea Mkuu wa Majeshi wa Kwanza Mstaafu, Jenerali Mrisho Sarakikya, Nyumbani Kwake Arusha

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Mkuu wa Majeshi wa kwanza Mstaafu Jenerali Mrisho S. Sarakikya wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Nkoaranga Wilaya ya Arumeru Arusha tarehe 20 Agosti, 2023.


 
Mama kama Mama ,tunakependa saaaana Mama
 
Rais wa matajiri,huwezi sikia hata siku moja kuwa kafanya ziara Katavi.Hivi toka awe Rais kishafika Lindi au Songea ,Sumbawanga au Simiyu kweli huyu?Kila mara utamsikia yupo Arusha, Zanzibar, Dodoma na Dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…