Rais Samia Amtembelea Mkuu wa Majeshi wa Kwanza Mstaafu, Jenerali Mrisho Sarakikya, Nyumbani Kwake Arusha

Rais wa matajiri,huwezi sikia hata siku moja kuwa kafanya ziara Katavi.Hivi toka awe Rais kishafika Lindi au Songea ,Sumbawanga au Simiyu kweli huyu?Kila mara utamsikia yupo Arusha, Zanzibar, Dodoma na Dar.
Hahahaaa..... Apajue huko anafata nini! Zamani JK alikuwa akienda sana Marekani, ila mama anaenda sana Dubai.
 
Rais wa matajiri,huwezi sikia hata siku moja kuwa kafanya ziara Katavi.Hivi toka awe Rais kishafika Lindi au Songea ,Sumbawanga au Simiyu kweli huyu?Kila mara utamsikia yupo Arusha, Zanzibar, Dodoma na Dar.
Huko lindi ili mumpulizie moshi kama marehemu magu?
 
Back
Top Bottom