Rais Samia amtembelea Mzee Warioba. Je, Katiba Mpya kupata kiki?

Anaenda kuwajulia hali si kupata maoni yao. Huwezi kumtembelea mtu lisaa limoja ukapata mawazo yake. Angekuwa serious kupata maoni angewaita ikulu na kufanya nao mikutano siku nzima.
 
Very good but Msuya alisha okoka na kuachana na tabia ya wizi?
 
Blaza yawezekana mama anatafuta foundation ya kumwaga majanga kwenye ishu ya kina Urio. Kwamba kasikiliza ushauri na kuufanyia kazi
Hilo angeongea na Pinda, huyo anafahamiana vyema na Mbowe na wamefanya kazi pamoja bungeni.
 
Katiba ni muhimu, hata kama wakina jiwe wakaja wengi siku zijazo
 
Rais wetu hana hiyana na wakosoaji wake
 
Katiba mpya hawezi kubali sababu itakuwa mwisho wake maana wananchi huku hawataki hata kumsikia kabisa
Ni kawaida kwa sababu uchumi bado haujatengamaa but cha muhimu mipango ya serikali inaenda vizuri..

Mambo yatatakapotengamaa hutosikia hizi maneno za sijui hawataki kumsikia.
 
Katiba si agenda ya CCM kwa sasa, Rais Samia lwenye hili la katiba CCM washampigia mstari. Kama akilianzisha litakuwa la kwake si la chama.
Alianzishe tu maana nchi sio ya ccm
 
Kazi zimemshida kabaki kupiga misele,bei ya mafuta imepanda tanzania,gesi imepata yeye anapiga misele sababu anakula bure
 
Hii mizee Ni midabwada unadhani Kuna la maana amemwambia, inaangalia matumno Yao na Wana wao. All in all Warioba has shown to be principled and a firm conviction to what he believes to right!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…