Rais Samia amtembelea Mzee Warioba. Je, Katiba Mpya kupata kiki?

Mimi nina imani Samia anaweza kutupa Katiba Mpya ila amezungukwa na Mbweha.

Na kama tunavyojua anasapoti kubwa ya Jen Mabeyo mambo yatakuwa sawia tu.
 
Atashusha nani ulivyo pimbi? Bei zinapangwa na Serikali? Aisee nadhani watu hawakunyoka vizuri bora aje katili kuzidi Mwendazake na akae miaka ya kuzidi ndio akili zitakaa sawa .

Hapo tutaona kama maskini watatoka kwenye umaskini
 
Lini sasa aichie nchi wakati kwanza ndio miezi 9 tu tangu aichukue. Labda muujiza utokee tena. Usiniulize muujiza gani nitakunasa kofi.
Hatuombei huo muujiza unaoutaka. Tutamvumilia mpaka 2025. Lakini cha moto tutakiona.
 
Kazi tunayo na tutaendelea nayo. Warioba amesema hawajajadili mambo ya katiba. Mh. Rais SSH aliendatu kumjulia hali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…