PostGE2025 Rais Samia amteua Binti yake Wanu Hafidh, kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Wote elimu zao za kuunga unga tu.
 
Yaani katika jamhuru yenye Raia zaidi ya milioni 60 na wabunge wenye Elimu kubwa na uzoefu mkuu mnateuliwa Naibu Waziri mwenye ya kuunga Unga kama hii katika karne hii na mwaka huu 2025 bila hata aibu kwa vile tu ni mtoto wa MTEUAJI? na wakati huo na mumewe umempa uwaziri?
This is too much! Au kwa vile ni Baraza la mpito?
 
Elimu mbalimbali😂
 
Elimu ya kuunga unga. Bila shaka form 6 alizungusha. Leo hii ndiyo ana jukumu la kuelekeza elimu ya taifa. Jamaniii!

View attachment 3503259
Ukiona mtoto kapelekwa kusoma secondary Uganda jua hapa bongo mambo yaligoma,kule ilikuwa cheti ni pesa yako,nimesoma Makerere najua story za watoto wa kibongo waliokuwa wanakuja kusoma pale
 
Mama e huyu ni form four felia kama mama yake.Abdul kajua kutu tomba kwa kweli.
Kwani ukifeli form 4 inamaana Huna akili? Maana kwa kuangalia CV yake imeonesha amejiendeleza vizuri tu ndio maana ameweza kuingia kwenye system ingekuwa ameishia form 4 pekee ndio ningekuwa Nina doubt sijui kwanini hapa bongo tunakasumba ya kuwacheka waliofeli form iv hata kama wamejiendeleza vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…