PostGE2025 Rais Samia amteua Binti yake Wanu Hafidh, kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huyo kagame anasubiri kuingia kutuondolea hawa watu 😭😭 uwii kifua kinajaa hasira…
 
Alishasema katiba ni kijitabu huyu muuaji hivyo usishangae.

Shaka Hamdu Shaka alimfanya kuwa DC Kilosa.

Jabir Makame alimfanya kuwa RC Songwe , hawa wote ni wazanzibar wakati mtanganyika kule Zanzibar hawezi kukubaliwa kuongoza kata/shehia.

Na bado mwansheria mkuu wa serikali alitokea Zanzibar na mwanasheria mkuu wa Zanzibar ni mzanzibari.


Kwake alishaona katiba ni kama gazeti la udaku , kwa sasa sio rais na hana uhalali wa kuongoza nchi.

Hawa wauaji hawawezi kutupa katiba mpya na yenye mamlaka kumfunga yoyote anayetaka kuivunja hivyo wananchi ndio wataleta katiba mpya ambayo Tanganyika itarudishiwa mamlaka yake kamili .
Halafu elimu sio swala la muungano.... inakuaje mzanzibar anakuwa waziri anayeshukulikia elimu???
 
Elimu ya kuunga unga. Bila shaka form 6 alizungusha. Leo hii ndiyo ana jukumu la kuelekeza elimu ya taifa. Jamaniii!

View attachment 3503259
Kwani Kuna shida gani mtu kufeli form 4 alafu akajiendeleza vizuri sana mbona Makonda nae hivyo hivyo alafu muangalie kichwani na namna anavyodress Mambo unaona kabisa ni msomi tusiwe watu wakupingapinga kila Jambo tupime Kwanza utendaji wa mtu alafu then tujudge sisi pale ubungo tuna Kitila mkumbo ndio mbunge wetu tangu awe mbunge wa hapo hakuna chochote alichofanya ila ukiangalia Elimu imeshiba mno ni professor lakini asiye na impact yoyote
 
Elimu za hapa na pale na mafunzo mbalimbali Karachi ,Pakistan
 
Hii familia na elimu ni mbingu na nchi
Elimu yake ina shida gani Kama amejiendeleza vizuri tumpime mtu kwenye utendaji wa mtu ndio itakupa picha halisi sio kwa kuangalia CV yake pekee, Kitila mkumbo amekuwa mbunge wa ubungo hakuna chochote alichofanya jimboni wakati ana CV nzuri sana
 
Wanasemaga akili hutoka kwa mama...

Hii familia imejaa vilaza
Ukilaza wake ni upi wakati hatujampima vizuri kiutendaji tuna wasomi wenye CV kubwa sana lakini ukija kwenye utendaji hawana tofauti na hawa wasiosoma sana na ndio maana msukuma huwa anawadhiaki
 

Yaani yeye Elimu imemshinda halafu ndiyo anapewa kusimamia elimu.

Yaani pamoja na kupelekwa Uganda kusoma hata kadgree tu kamoja kalimshinda. Sasa hivi ABDUL yeye ana elimu gani .... au naye ni form four kama familia.
 
Nani anabisha kwamba ni mchengerwa kaunda hii team ya ulaji? Huyu mmama hana soni, haya wala aibu aisee!
 
 
Waziri ni nafasi ya kisiasa isiyo na faida kwa mwananchi, ndio maana yoyote anaweza kuwa wizara yoyote bila kujali utalaamu, elimu, Yani hakuna vigezo, ndio maana Kabudi alikuwa Wizara ya sanaa na michezo na sasa hivi Mchengerwa yuko Wizara ya afya.
Hizi notion za kipumbavu ndio zimefikisha taifa hapa... nchi zinazojitambua hizo ni nafasi za msingi sana, sababu ndio zinashape wizara iende vipi. Kwanza inabidi mtu achujwe haswa competence yake na akiwekwa asihamishwe hovyo hovyo ili kuleta matokeo
 
Ndio point yangu kubwa, nafasi ya uwaziri iko kisiasa tu, hakuna vigezo, hakuna kuchujwa, hakuna uwajibikaji, akitoka kuwa waziri bado anaendelea kula msharahara kama mbunge.

Zaidi kwenye bunge la chama kimoja, hakuna uwajibikaji kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…